Tahadhari hii ni kwa single parents wa kike na wa kiume na si kwa single fathers tu au single mothers tu. Tuwe waangalifu na watu wanaotoa misaada kwa familia, wengi hutumia mapungufu kwa faida...
Leo nikiwa mitaa fulani na washikaji na jamaa wengine nisiowafahamu ghafla mtoto mmoja aloumbika,mwenye umbo la kuvutia kumshinda hata yule dada alojipiga picha juzi akiwa swimin pool.
yule dada...
Wadau nimevuna tumbaku zangu hapa sasa natafuta hotel ya hazi zaidi afrika mashariki nika furahie maisha kidogo na kujipumzisha naombeni mnipe list ya top 5 nichague mwenyewe msiache ile ya...
Wema sepetu-mabalozi wa wowowo Tanzania
Sanchoka
Masogange
Wolperstlyish
Nisha -mabalozi wa vibenten Tanzania
Wastara
Tunda-mabalozi wa kula na kulala hotelini
Lyin
Husna maulid
Basi sawa
Nimejiunga rasmi jamii forum mwaka mmja uliopita duh aseeee nimegundua humu kuna warembo asikwambie mtu duh ila sina hata mmja kati ya Warembo wote humu
Ila sio kesi Jamaa angu leo nakuletea...
Habari za wikiend wapendwa..
Nikisema hongereni namaanisha kweli kweli na hapa nazungumzia suala la ugawaji wa sita kwa sita.
Kiukweli jamii yangu ya Kizanzbari ilikua na hali ngumu hususan kwa...
Habari zenu waungwana.
Katika pita pita zangu nikajikuta nimepata hilo swali hivi kuna wanawake ambao hawajui kupika
Hivi ni kweli hicho kitu kipo?
Na Kama kipo huyo mwanamke...
Leo nikiwa mitaa fulani na washikaji na jamaa wengine nisiowafahamu ghafla mtoto mmoja aloumbika,mwenye umbo la kuvutia kumshinda hata yule dada alojipiga picha juzi akiwa swimin pool.
yule dada...
Good night, to the guy who makes my days bright.
Sweet dreams, to the guy whose love makes me burst out at the seams.
Hugs and kisses, to the guy who makes my life seem like a bed of roses.
I...
Baby you summertime fine, I let you get on top, I be the underline
I'm trying to get beside you like the number 9, dime
You fine as hell, I guess I met you for a reason, only time can tell
But...
yaani ukijua mtu kapenda ni kapenda kweli kweli, nakupenda Sana namaanisha nivyokuambia nateseka sana juu yako, jamani acheni moyo upende mengine baadaye kama kweli mm sipo moyoni mwako acha tu...
Hii ni baadhi ya mistari ambayo utumika kutongozea:-
Kwa wanawake waliokuwa katika umri wakuanzia 25.......na anakata kinywaji mambo huwa hivi...
Dada za kwako samahani sijui hapa naweza kujoin...
Aman iwe nannyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Niko hapa kitandan nimeket mikonon nimeshika maandiko matakatifu ya bwana
Natafakar sana juu ya maisha yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.