mwenyezi mungu kupitia maagizo yake ametuagiza kufanya kazi, ili maisha yetu ya kila siku yasonge unapofanya kazi kwa bidii anakupa neema(mafanikio)sasa hapa ndipo panapowashinda wanadamu wengi...
Tuliopo Mlimani City muda huu kwenye tuzo za cinema zetu tusalimiane wakuu. Niko upande wa VIP niko na black gauni na wadada wengine watatu wamevaa blue jeans wana vyura fulaaani.
Wakati mwingine tunafanya mambo tukidhani tunasolve matatizo, kumbe tunajiongezea Utamaduni huu umezoeleka miongoni mwetu kama sehemu ya maisha, lakini mimi nauita ushamba. Ikitokea mtu anatoka...
Daahhh miss chaga popote ulipo nimekumiss sana.
Ingawa hatupo kimwili lakini kiroho nakukumbuka sana.
Michango yako matata na vibonzo vyako vimekosekana sana humu.
Upatapo ujumbe huu tafadhali...
natumai wazima wa afya,..ndugu zangu mnaotumia jamii forum kwanza naomba msinichoke kabisa kwa sababu haya maagizo niliyopewa namoyo wangu kupitia mkono ambao umeandika yafike hapa pahala...
Hali zenu wapendwa? Alfajiri tumemkamata mwizi wa majumbani, kabla ya kumuadhibu nikataka kujua ni wapi wanapozipata dawa za kupulizia watu madirishani mpaka wanapoteza fahamu. Sikuamini jibu...
Natoa pendekezo hapa kwa wana jf mliomo humu tuanzishe mchakato wa uongozi kama vyuo vikuu, Tff, au hata Nchi, yaani kuwe na rais,makamu,waziri mkuu,waziri wa ulinzi nk.mimi naanza kumpendekeza...
Salaam wana Chit Chat!
Natumai popote mlipo Pasaka yenu imeenda na inaendelea kwenda vizuri.
Nichukue fursa hii kuwakaribisheni jikoni kwetu [mimi na Kisura....daddy-daughter tag team].
Leo bi...
Tafakari hii !!
Demu: baby nikwambie kitu...
Boy: Ee kitu gani hicho baby?
Demu: Baby nina njaa mwenzako yan!!
Boy: sasa nifanye darling ?
Demu: Baby fanya mchakato wa hela ya chakula...
Habari wanajamvi, katika harakati za kutafuta fulsa nimeiona fulsa katika biashara ya saluni. nimefuatilia biashara hii kwa muda mrefu nimeona kuna maeneo wateja bado hawajafikiwa, sasa sijajua...
Kama ilivyo siku nzuri kabisa ya leo imefika, tunamshukuru Allah katupa neema kote dunia sisi tulio wazima wa afya.
Ifahamike kuwa siku ya leo tunaazimisha siku, ya kufufuka Bwana wetu, Kristo...
Habari za mchana wa kuu?
Natumauni nyote ni wazima wa afya baada ya kukaa kimya na kutafakari ukazaji wa vyuma hapa kwa MAGUFULI nikaona kwajiri ya kuliwazana nije na huu uzi
Lengo kuu la huu...
Hii sio sawa,
Huyu Bnt ni rafiki wa kitambo sana, mara nyingi amekuwa akiomba game tukumbushie ya ujana ila kulingana na majukumu ilishindikana
Sasa wiki jana nilimwambia nko Mwz akafurahi kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.