JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kama mada inavyojieleza Anaejua chuo kinachotoa mafunzo ya uchoraji tattoo kama hivi pichani anijuze nikapate ujuzi nijiajiri[emoji116]
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Habari wana bodi leo mida ya saa 1 nmeokota takriban sh laki mbili na elfu 20 mitaa ya hapa msimbaz kwakuwa mm ni mwislam safi sitaki kuitumia mpk niitangaze akikosekana mwenyewe naitumbua...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Hivi juzi niliopoa mtoto wa 1st year chuo. Miaka 20. Mimi nina 30+. Tumekutana kufanya yetu, nimeshangaa sana ananiambia niweke yote wakat tyari nimeingiza mpaka mwisho. Nimekuwa nikukutana na...
3 Reactions
50 Replies
8K Views
wazazi wengi wa kipato cha kati walipeleka na wanazidi kupeleka watoto wao katika shule za huyu mzee, huu uzi upo kukumbushana kwa wale tuliopita kwenye shule za huyu mzee, kwani tupo maelfu...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nmeanza mwaka vibaya mapenz yanaumiza nyiee achenii ... Wanawake viumbe tatanishiii.... Ntajizuia kulewa na kunywa pombe ila mapenz yanaumaa
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Kwa kipindi chote cha maisha yangu nimegegeda mwanamke mmoja tu kwa kifupi mimi sijui kutongoza ila roho yangu ipo kwa wahindi, waarabu na wazungu nikikutana nao mi hoi ila kutongoza siju hata...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Kilaa nikijiunga kifurushi cha nyota kinaisha nikibonyeza reli haiwezekani nimependa pesa tu. Sasa jioni mvua zinanyesha nimemwambia maindi ni mengi sasa kinachomliza ni nini jamni? Sijapenda...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Chui ni hatari sana! Nilikiwa naangalia channel moja inaitwa NAT GEO WILD.Chui alidumbukia majini kama samaki akapambana na mamba na kumtoa nje akammaliza fasta! Chui ni hatari kuliko mamba!
3 Reactions
47 Replies
9K Views
*HII MITOTO YA CKU HIZI NI NOMAAAA* *MTOTO:Baba naomba hio glass* *BABA:Njo uchukue mwenyewe* *MTOTO:Baba bwana naomba niletee tu* *BABA:Halafu wewe mtoto unajua nitakuja nikupige* *MTOTO:Basi...
6 Reactions
3 Replies
2K Views
Salamu sana wanandugu? JF ni Jumuiya kubwa sana! JF imekusanya watu wa nasaba mbali mbali! JF imebeba watu wa hadhi na rika mbali mbali! JF imebeba marafiki wa kweli, wa dhati, JF ina mpaka...
6 Reactions
70 Replies
4K Views
Huyu Judith wangu aliwahi kunisaliti akakamata ujauzito wa mwanaume mmoja wa Mwanza anayefahamika kwa jina la Ale. Akautoa kwa siri ila nikamshtukia. Hayo yote ni baada ya kuwa nipo masomoni ila...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
_*WELCOME TO THE 21ST CENTURY!*_ � *Our Phones [emoji117] Wireless* *Cooking - [emoji117] Fireless* *Cars - [emoji117] Keyless* *Food - [emoji117] Fatless* *Tyres -...
2 Reactions
5 Replies
671 Views
1 Reactions
2 Replies
1K Views
God created the donkey and said to him. "You will be a donkey. You will work un-tiringly from sunrise to sunset carrying burdens on your back. You will eat grass, you will have no intelligence...
3 Reactions
9 Replies
783 Views
Nimehudhuria Nyumba takribani Nne ( 4 ) kwa ' Maakuli ' lakini cha Kushangaza kwa mwaka huu ' Mapilau ' yote niliyoyapakuwa sijakuta hata ' Nyama ' na nikaja ' kubahatisha ' katika ' Pilau ' la...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Amani iwe Pamoja Nanyi! Navutiwa sana na Jinsi Aspirin alivo na sky eclat , Smart911 alivyo na Mahondaw na pia wengine wengi ambao siwezi kuzijua couple zao! Kwa kuvutiwa huko nami nimeona ni...
6 Reactions
257 Replies
10K Views
Binafsi huwa nakubali sana michango ya huyu jamaa hapa jukwaani. Ukiachilia mbali kasi ya JF kupoteza ma-great thinkers wake wa zamani kama kina Kiranga , Mkandara na wengineo, hili la kupotea The...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Wazima nyie Ushimen na Bujibuji?
3 Reactions
92 Replies
6K Views
Wapo wanaoona Bongo Movie wanakosea, wapo wanaoona Bongo Movie wanapatia kwenye kutengeneza kazi zao za sanaa. Weka maoni yako hapa.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom