Jana katika pirika pirika zangu za kuzunguka jiji la Dsm nikiwa natokea feri, kuna kituko kilitokea kikamuacha kila mtu mdomo wazi na minong'ono ya hapa na pale. Kuna kijana mmmojaa ambaye jina...
Ambao hamjalala nawasalimu,
Kama kiulizavyo kichwa cha habari hapo juu,kama kuna member yeyote (asiwe me) anataka kugegedwa nami ndotoni akuje tafadhali.
Ijumaa njema na iwe kwetu sote,
Leo asubuhi wakati namsaidia mama watoto kufua nguo (kama kawaida yangu pale nipatapo wasaa), mke wangu alikwenda dukani na aliporudi akanikuta nikiendelea na...
To cut story short, pitia profile yangu kuna uzi 2 nimeeleza kuhusiana na ndoa yangu...
Thing is, nimeoa kwa kuwa nilikuwa nahitaji kukaa na mwanangu, mwanamke upendo ulishaisha kitambo, ni...
Ukiwaa partner wa mwanasiasa inabidi ujifunze kuwa na tabasamu la bandia mbele ya camera. Hata kama mligombana usiku kucha.
Sasa bibie yule kama kila siku wanajitokeza wanawake wenye madai ya...
Hivi inakukaje mtu anakunywa pombe anagombana na familia, anagombana na marafiki,anasababisha ajali lakini bado pombe aachi. Yaani haya maneno ninayaandika huku nikiwa nimeshika beer yangu ya...
Wahenga wa kike mnakumbuka haya!
Magauni ya redimedi!
Nguo za sare sare(sare sare maua asiyejua kuchagua kabila lake mzegua[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3])
Moka nyeupe kwa nyeusi!
Soksi...
Fanya mtongozo wako kwa mwanamke Wa ndoto zako uwe Wa mafanikio!
Najua wanaume wengi tunapenda kuwa na warembo ila wachache hufanikiwa!
Usiwaze leo nakupa mbinu ambazo utasahau mitoso na lugha...
Naombeni kujua wadau hii imekaaje maana wakristu tunaambiwa tusile nyama siku ya ijumaa kuu.
Kuna samaki nimepika jana apa sasa nikimuacha ataharibika maana sina fridge.
Msaada wa haraka...
Aman iwe nannyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa kichwa kinavyosomeka hapo juu
Imekuwa ni kawaida sana kila nipitapo unakuta mtu kafungulia saut ya juu kabisa huku ikisema JE HUU NI UNGWANA...
Ni miaka mingi sana imepita ila nakumbuka kama vile ilitokea jana tu. Ni siku ambayo yalitolewa matokea ya mtihani wa darasa la saba. Kwa miaka ile enzi ya mwalimu shule za serikali ndio zilikua...
Dada mange please hid my Idiii (Id)!
Hili limekuwa neno maarufu sana huko insta na kwingine, ambako infomer wa Mange wamekuwa wakimuomba awafiche mara wanapompatia info yoyote iwe ya kweli ama...
Harare,Zimbabwe
Dereva wa basi katika hospitali ya vichaa ya Bulawayo Mental Hospital iliyokuwa katika miji wa Bulawayo,Zimbabwe alikua akiwasafirisha vichaa 20 kutoka Harare kwenda...
Hutu jirani yangu aliyekuwa analalamika vyuma vimekaza leo anawacheka wanaolia na hali ngumu. Kumbe mpwa wake anaefanya kazi kwenye taasisi nyeti amempigia pande la kumfundisha mapishi mtoto wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.