Kweli sasa nimegundua Sheria zimewekwa ili zivunjwe.Haya magari ya Serikali tena na Milingoti ya bendera baa mpaka usiku mkubwa inamaana gani jamani?Au tuchukue sheria mikononi?Hawajui tumechoka...
Kwa sasa moja kwa moja ukitaja neno mkeka utaeleweka unazungumzia kikaratasi(receipt) baada ya kubet, lakini vijana wengi wa sasa hasa dada zetu hawajui mkeka ni nini ama ukindu ama ukili.
Wakina...
Haya ni maneno niliyoambiwa na jounalist wa ki Danish alikuja Tanzania baada ya American Embassy kupigwa bony 2008.
Anasema alitokea kupenda kiepe, sasa alikuwa Posta Mpya akaona container enzi...
Kama kichwa cha habari ilivyoeleza, naomba nitunuku hili jamvi leo kwa mrembo ninaempenda sana humu Shunie. Namkubali sana, kila siku lazima nipitie comment yake humu, siawahi kuwasiliana nae PM...
Nachukuwa nafasi hii kuwaaga, mie naanza likizo. Likizo sio lazima uajiriwe. Likizo ni mapumziko.
Jitahidini nanyi muwe mnapumzika. Hata mumeo/mkeo uwe unampa likizo apate muda wa kutoka nje ya...
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Hapo juu twende moja kwa moja kwenye mada.
Utakuta asubuhi sisi akina baba ukitaka kumpa pesa za matumizi mkeo.
Unampa ndani chumbani, mama akitoka pale wewe...
Mimi nakumbuka kipindi hiko kama unakwenda kuchunga mifugo upo nayo mkononi kwenda kulima na kupalilia mazao lazima Kaseti iwe pembeni bila Kaseti kipindi hiko nisawa na kijana wa sasa bila...
Am so sorry to write this... Na si kawaida yangu kuandika hiki ninachoandika.. But like anybody else... Nina hisia kama wengine.. Nina matamanio kama wengine..... Nina upweke kama wengine...
Scandinavia walianzisha utaratibu wa kulipa deposit chupa za pombe wakati wa manunuzi. Ukirudisha chupa unapewa hela yako.
Uingereza wanaanzisha mpango huo mwisho wa mwaka huu. Nikiangalia huu...
*Wako wapi wanaume majasiri kama huyu*
*Wife :Baby leo nimeona iphone8 kwenye duka la simu mjini, ni nzuri[emoji7]
*Husband : Vipi umeipenda
*Wife: Nimeipenda sana mpenzi...
Ni wachache sana ambao hukubaliana na hali zao!!,wengi huishi kwa nyoa mara kwa mara nyelwe zinazochipuka kwa pembeni,,nashauri wapewe Bima za kunyolewa
YALE MAANDAMANO YA TAREHE 26 YAMEHAIRISHWA HADI 26 DECEMBER MWAKANI.
samahani ili kupata taarifa lala uone kama ni ndoto.
sijawahi ota ndoto halafu ikawa tofauti.
usingizi zzzz
NB:ni kuhusu...
Fikiri kwanza kabla ujatamani, usije kujuta.
Waraghai wa mapenzi sasa hivi wako wengi sana, utasikia demu anakuingilia messenger nitumie nauli mie nipo mwanza nakuja dar kwa ajiri yako
Kumbe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.