JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kama waenda kupata mlo Wa kikubwa this night! Sema oyoooo!
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Kumekua na tabia ya wanawake wanakufata inbox wanakutamanisha kwa meseji tamu sana na hata kama hukua na mpango wa kununua show basi unajikuta unashawishika. Anakupa list of services na zote huwa...
0 Reactions
58 Replies
3K Views
Mwalimu:Angalieni juu, mnaona nini? Wanafunzi:Mawinguuu!!! Mwalimu:Vizuri, kingine je? Wanafunzi:Hamna kingineee!! Mwalimu:Je, Mungu mnamuona?? Wanafunzi:Hatumuonii Mwalimu:Sasa tutaaminije?, me...
5 Reactions
2 Replies
2K Views
1.Saint ivuga 2.kisu cha ngariba 3.BAK 4.mshana jr Nawapenda sana yaani sanaaa my boys! Lakini kuna hawa wafuatao sijui wamekula maharage ya wapii 1.lizaboni Ningekuwa mod huyu ningempa ban ya...
15 Reactions
182 Replies
13K Views
SOMA KISA HIKI Ikiwa yapata dakika 45 toka ndege ilipotoka uwanja wa ndege,ndege iliyokuwa imebebe zaidi ya abiria 400. Ikasikika sauti toka kwa rubani ikisema,injini moja haifanyi kazi na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nashangaa basata badala ya kufungia wimbo wa ccm mbele kwa mbele wao wanafungia wa kibamia, inamaana basata hawafahamu ya kwamba ule wimbo wa ccm mbele kwa mbele hauna maadili kabisa na haufai...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna mtu alitaka kununua ubongo ambao uko used (kama vile tunavyonunua used cars) Ubongo wa mzungu ulikuwa bei ndogo kabisa (dola kumi) Ubongo wa mwarabu upo bei juu kidogo (dola Ishirini) Ubongo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Heaven on Earth Huyu mrembo amepotea kwa muda usiojulikana, mara ya mwisho alionekana mitaa ya Biashara na Uchumi, huwa anapenda kutembelea mitaa ya MMU na Chit Chat. Popote utakapomuona unaombwa...
14 Reactions
451 Replies
19K Views
Kama ni mimi mbio zangu ndiyo Zingenisaidia Je wewe?? Ona hawa walichofanya Usisahau kusubscribe, Like, Comment na Ku Share ili na wengine Watwambie wangefanyaje.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za majukumu ndugu zanguni, nimekutana na fumbo linasema hivi, NI MWEUPE KAMA BARAFU PIA NI MWEUSI KAMA GIZA, KULIWA NI HARAMU NA ANAMANYOYA MENGI MWILINI. JINA LAKE LINA HERUFI 5 NA...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Kwanini hawa wenzetu wanaoendesha malori na ma-semitrailer huwa wanapenda kula nyama choma na bia?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Alaf msichana unayempenda kupita maelezo Anakuambia hivi.. GIRL: do u love me BOY: sana tu!(messege failed) GIRL:sas c unijbu jaman Boy:nakupendaa(messege failed) GIRL:mbn kmya au kiburii...
1 Reactions
4 Replies
896 Views
1 Reactions
5 Replies
3K Views
KUANZIA LEO MIMI SIO WA KAWAIDA! Mnamo September 27 mwaka 2010,Rapa LIL WAYNE,akiwa Jela akitumia Kifungo,alitoa Albamu yake ya 8 na akaiita I AM NOT An HUMAN BEING!! Watu tofauti walijaribu...
6 Reactions
9 Replies
3K Views
Mtoto alizaliwa, Ghafla akaanza kuongea; Mimi nitaishi 4 days, Mum atakufa 6 days later na Dad atakufa 15 days later After 4 days, mtoto akafa. 6 days later Mama akafa. Baba akajua next ni yeye...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Pesa ni uchawi kwa manzi kosa vyote dume usikose mshiko! Watoto wazuri utaishia kuwaita shemuuu! Utakuwa member expert Wa punyetooo! Utakuwa mshika pembe tu wenzio wanakamua maziwa! Utatengwa...
3 Reactions
35 Replies
6K Views
Nimefanya utafiti wa kutosha na nimekamilisha kazi hii na ninaamini matokeo haya yana ukweli kwa asilimia 97%. Baaada ya utafiti huu nimegundua kuwa UKIONA HUNA HELA NA BADO MWANAMKE ANAKUPENDA...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
*KWA WABABA WALIO OA TU* *Ukiona kila siku kuna pesa inapotea ktk wallet yako wakati unapo ondoka home asubh. Nunua Pc 1 ya Dume au salama, katafute na PREGNANT TEST inayo soma Positive weka...
2 Reactions
4 Replies
805 Views
Huna sababu ya kuiga mwingine anaishije. Jambo la msingi ni kufuata misingi,taratibu,kanuni na sheria husika ili uishi kwa raha.
2 Reactions
6 Replies
983 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…