Wewe ni nani?
Upo hapa duniani kwa ajili gani?
Nani aliyekuumba?
Nini hatima ya maisha yako?
Ukiondoka au ukifa unaelekea wapi?
Je unakujua jehanamu?
Jibu katika uelewako,mshirikishe na mwenzio.
Humu ni kama mtaa flani hivi!!
Pigia mfano umetupwa humu kitaa kutafuta mwandani utamdanda nani!hata kama unafunga nae ndoa smile lako hadi gego litaonekana!
Mimi ningemdanda nanihii hadi...
Yaani wakitembea wanatingisha!!!
Yaani wanasema wanapunga hewa
Au wanaonyesha uumbaji Wa maulana!
Mitikisiko ya pwani hii jamani!
Halafu unakuta kaumbika mtoto mashalaa!
Unapishana nae unatamani...
Nilisikia ila sina hakika sana
naona ile tarehe inazungumzwa sana nyuma ya "kibodi" sa sijui kwani watu wanatetemeka tetemeka baridi wakati huu msimu ni masika lakini bado joto linasumbua.
acheni...
Kwa nini kuna hulka kwamba mtu akienda msalani kwa long call(ku puuh) hataki mtu mwingine yeyote ajue ?
iwe umekutanana nae atakausha vibaya sana... kuna nini ? kuna mtu ambaye hiyo hali haimtokei...
Huu wimbo hauna maadili kabisa
Siufahamu jina Ila hii ni baadhi ya mistari take;
" acha waisome nambaa eeeh"
"Hutunywi sumu hatujinyongi"
"Na wavimbe wapasuke"
kuna mtu leo kaniambia hivi
Money Penny vijana wa sikuhizi wana vituko sana
Kwanza wanalazimisha mapenzi
-kama haupendwi kwanini unang'ang'ania msichana akupende?
wengine wanakuwa wamesha-WOWA...
Husika na kichwa cha habari hapo juu ila naomba twende sawa maana kuwa watu sio waelewa kabisa!
Kwakuwa tupo msimu wa Malkia wa Nguvu; toa yako ya moyoni utuambie
Nani ambae unamkubali sana kuwa...
Wakuu kuna mdada mzuri sana amefungwa na anatarajia kuachiwa baada ya muda fulani (sio mfupi), nauliza kuwa naweza kumtolea mahari muda huu ili akitoka tu nimwoe? Ni mzuri sana na ni star.[emoji7]...
kuna mambo mengine tusiwe tunayavumilia... watu tuambiane ukweli tu ili watu wenye hayo matatizo wabadilike. hamna haja ya kuoneana aibu wala noma. mimi naanza kwa kuwaweka wazi watu kadhaa kuwa...
Haya kazi kwenu... Vyuma vimekaza chance ndo kama hizoo wenye vigezo mjilipue
Mimi nimetumiwa tu binafsi nimeridhika na kakibarua kangu vya world Bank sio level yangu nikaona sio mbaya yaweza...
Wana JF,
Greetings !
Natafuta wadhamini nimeshatuma maombi mbalimbali kwa wadau ili kupata fedha ya maandalizi na kuwalipa wafanikishaji wa mechi ya mpira wa miguu kati ya UVCCM dhidi ya BAVICHA...
Tupeane mawili matatu, usingizi hata dakika walau moja sijapata, nimeamua nitoke kidogo nizunguke zunguke walau niangalie mji, manake ndani hapakaliki, sijui sababu ya kukosa glisi?
Karibuni
baada ya kuibuka upinzani mkali kati ya wanaume wa dar na wanaume wa mikoani, na tuhuma nyingi kuwaangukia
wanaume wa dar,tuhuma izo kwa wanaume wa dar ni kama:
1.kukojoa...
Baada ya kutoka zangu chuo kupiga msuli. Nikarudi home nikitafakari mambo mengi makubwa tunayofaidi watanzania kutoka kwa uongozi uliotukuka wa Rais wetu mpendwa.
Rais huyu ni kipenzi cha wengi...
Nina hofu na maisha ya upangaji,familia nyingi zinaishi kwenye nyumba za upangaji,wengine wamezeeka wakiwa kwenye nyumba za kupanga,wengine ndo wameanza kuishi kwenye nyumba za kupanga,siyo...