JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Haha aisee nikikumbuka Hizi mambo huwa nacheka mno, hivi huyu mgunduzi wa hizi mambo za kukata MIKIA,kupigisha SIMU chooni na ile ya kumpa form one tsh 100(mia) akakununulie maandazi matano na...
0 Reactions
8 Replies
882 Views
Kuna mtu kaniambia amesikia nimeteuliwa, embu nihakikishieni maana sikusikiliza. Au Jumatatu niende tu Ikulu hivo hivo?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi ni kweli kabisa hakuna alieipigia kura nyimbo hata moja ya WCB ??!!! Siamini hata kidogo. Hivi hili bifu ni la : 1.Diamond na Clouds? 2.Diamond na Ruge? 3.WCB na CLOUDS? 4.Salam na Ruge...
1 Reactions
5 Replies
900 Views
Jamaa mmoja anayejua sana kuchamba watu, simjui kwa jina, nimeikuta hii video akiwasema wa mama wanaopenda kusalandia vijana wadogo wenye umri kama watoto wao waliozaa. yaani BEN TEN alafu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mwenyezi Mungu awe pamoja nanyi wana wa Mungu. mimi ni mwanafunzi katika chuo kimoja hapa DSM nasomea Bachelor ya Civil ENG, tatizo langu ni kwamba ni kama uwezo wangu umepungua. Kuanzia darasa...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Habar wana JF. Nmekaa nimetulia mara imeingia mesej naangalia ni mesej ya hawa matapeli wanaojifanya waganga Daah hvi bado wana imani tu ya kupata watu wa kuwapiga hela kwa njia hii kwel!??
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna mchezo wa Tennis ukichezwa na vijana wanne. Ambao ni Ali, Bev, Caz na Dan. Huu ni mchanganuo wa jumla wa miaka yao. A + B = 68 C + D = 61 C + B = 50 A + D = 79 Tafuta umri wa kila mmoja na...
1 Reactions
6 Replies
897 Views
Nilikuwa nikiishi nae nyumbani kama Mimi mume na yeye mke...kashifa na vituko. Vyake vimenishinda vya kunirudia usiku amelewa aiwezekani..na stak kashifa na vituko vyake sijasahau. Leo niko na...
1 Reactions
73 Replies
3K Views
Mara nyingi nimekuwa nikisikia hili neno Upungufu wa nguvu za kiume...Mpaka kuona mabango na Matangazo Je kwa wajuzi nini Maana hasa ya upungufu wa Nguvu za Kiume na Husababishwa na nini?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu habari za mihandaiko ya Mchana kutwa.................Kwa Uzalendo uliotopea na Kutukuka kuanzia leo 24.02.2018 nitakuwa na Ratiba ya kuangalia/kusikiliza TBC...........Hebu tuungane...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Natumaini mnaendelea vyema nyote,nimewamiss wanachitchat nimerudi haka kajukwaa nakazimia u know[emoji8][emoji8] zamani sikujua kama chit chat ni tamu hivi. Nimekaa leo peke yangu tu mara nasikia...
7 Reactions
197 Replies
17K Views
Naanda list... Naona kama Daby na Nyani Ngabu wako kwenye Nafasi za juu Kabisa. Mzee Asprin naona uko mbali kidogo...
21 Reactions
973 Replies
36K Views
Kusahau ni changamoto kwa watu wengi sana. Kwa sababu ya kusahau :(hasara) -wanafunzi na wanavyuo wanakesha kujisomea. Kama kungekua Hakuna kusahu basi ingewezekana kusoma chekechea hadi chuo...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Niko Ndani ya basi from Moro to Dar...pembeni Mtoto mkaaali...shida naanzaje? Wadau nipeni procedures!
0 Reactions
79 Replies
4K Views
mim nipo namba 2,wewe je?najua kuna wanashika ugeneral hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we ni namba ngapi ?
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Mimi kiukweli wangu alikua aeleweki kuna mda akivaa jeans anakua na umbo la funguo ya Bajaji Akivaa Dera ndo kama Mtungi wa gesi [emoji769]Twp[emoji124]
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Watu wanjifanyia mambo mpaka wanakua kama sio watu
0 Reactions
9 Replies
1K Views
ndioooo,,,,,,, kweli hutokea jamn kwakua sio sis tunao panga au tunao taka iwe bali mara nyingi n mipango ya mwenyezi mungu mwenyew alie amua tupitie yote katika maisha,,,,,,, kuna wakati...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
IQ
Hivi IQ ya mtu inapimwa vipi? Unajuaje kama huyo mtu au mtoto ana IQ kubwa au ndogo?
0 Reactions
28 Replies
5K Views
PART 1 Sitasahau siku nilipompa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha nne aliyekuwa anasoma Jitegemee ambaye baba yake ni askari police mwenye vyeo vyake kibao. Ilikuwa ni ijumaa jioni miaka mingi...
0 Reactions
3 Replies
654 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…