[emoji117]Walianza panya kula vifaa vya ofisi ya Raisi
[emoji117]nyoka nae akameza mamilion ya pesa
Sasa nyani nae kapita Nazo
Naic kama katumwa na mtu Huyu [emoji23][emoji23][emoji23]
Niko sehem fulan hapa napata lunch..sasa kuna jamaa kaka na demu wamemaliza kula nadhan ilikua ni wakat sahihi wa jamaa labda kuanza kutia vocal au stor flan za kusisimua, sasa kinachoendelea demu...
Wana JF kuna post moja nilichangia, lakini nimestuka kuona members wengi wanahoji kama mimi ni jinsi gani!
Ili kupunguza maswali MIE NI MWANAMKE
Ahsanteni
Mie sijambo kama nyie.
Nasema kutoka moyoni tena bila kushuritishwa na mtu, napenda sana tabia ya huyu dada member mwenzetu hapa JF. Huyu dada hana maringo, hana hasira hata mtu akimjibu utumbo...
Nakumbuka mtihani wa darasa la saba unaanzaga kama masikhara hivi!
19+87=
219-45=
12x34=
59÷7=
....
halafu huko mbele sasa kuanzia swali la sita na saba hivi, utajutaa:
Ndege inatoka Dar saa...
*Ni Tanzania pekee unakutana na mtu amezunguka kutwa nzima amepigwa jua huku anauza kitabu kilichoandikwa*
*NJIA YAKUWA BILIONEA KWA MTAJI MDOGO*
Ebu tupia na ya kwako tucheke wote..hii nchi ni...
Nilikuwa nimeshasikia lakini sikuamini kuwa, kuna midume humu inayotumia avatar ya kike ili kudanganya watu kuwa wao ni wanawake! Inaonekana jambo hili ni kweli. Watu wanajikuta wametembelea pm...
Shost yangu kajifungua watoto mapacha, wakike na wa kiume.
Wanafamilia wamekaa pamoja na kuwapa watoto hao majina.
Msichana ameitwa Mange na Mvulana anaitwa Kimambi.
Hongera zake kwa kupata watoto...
HABARI NJEMA KWA WATU WANGU WA NGUVU NIPO DAR BAADA YA KUTEMBELEA TANGA NA MOMBASA SASA NIMELEJEA.NINAWALETEA
Vumbi vumbi vumbiiii Vumbi la Congo, kitu vumbi la congo wajanja hawajutii Hii ni Dawa...
Naanza safari mida hii nikitokea Msata kilingeni... Nina ishu ya kufanya hapo bandarini mpaka saa nne takuwa nimemaliza
Kwa heshima kuu nitaomba mrembo aliye tayari tuonane japo kwa kinywaji na...
Jumatatu imeanza kwa kuwa ubusy kama kawaida yake. wazungu anaita "Blue Monday" nimefika mapema ofisini kuepuka foleni nikiwa parking nimetulia anakuja mfanyakazi mwenzangu na mdogo wangu pia jina...
"Pole pole" ni neno lenye mkanganyiko sana kimaana na hasa zaidi katika matokeo yake, mfano kama ni chombo cha moto/kiumbe hai huwezi jua kinasimama, kinazima au kinakwenda mbele, kinakata kona...
Serikali ipo wapi? Watu tunashindwa kulala. Watu tunashndwa kufanya kazi zetu kwa amani. Hali imekuwa mbaya sana. Na inashangaza rais anasafiri anatuacha katika hali hii. Hatujui hili suala...
Wazima humu!!!!
Jana nilipita maeneo ya soko kuu la Mwanza mjini nikashuhudia wamama wawili wauza ndizi za kupika wakijiponza wenyewe hadi kutiwa nguvuni.
Akina mama hao wauza ndizi za kupika...
Habari wadau, kumekuwa na wimbi kubwa la watu kukimbilia nchini Afrika Kusini. Hivi nini hasa wanachoenda kufanya huko kwa maana ya shughuli za kuwafanya wayamudu maisha ya huko?