JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hivi majuzi tulishuhudia wabunge na baraza la wawakilishi Zanzibar likikosoa kauli ya Waziri wa sheria jamuhuri ya muungano wa Tanzania Prof Palamagamba Kibudi kuhusu tamko la raisi wa Jamuhuri...
1 Reactions
2 Replies
733 Views
Kabla ya kuamini jambo jaribu kulitafiti japo kidogo kwa kuulizauliza ili upate uhakika,hii aliitumia mfalme wa uyahudi ili kujua wapi amezaliwa Yesu. Kama huna wa kuuliza au hupendi basi soma...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Huyu trafik alinisimamisha siku moja wknd jpili nilikua naenda msamvu,nilihofu kiasi kwasababu sikua na lesen niliisahau home akakagua vya kukagua na vimaswal vya hapa napale,triangle,bima,etc...
9 Reactions
165 Replies
9K Views
Moja kati ya watu walionivutia sana kipindi najiunga jamii forum ni huyu anayejiita mshana jr, nilizoea kumkuta kule jamii inteligence na great thinkers akiwa na mada za kuumiza kichwa,kufikirisha...
5 Reactions
81 Replies
8K Views
Uzalendo na nchi yako upo wa aina nyingi, lakini kwa uzalendo wa kukataa dharau na kudharaulika zinazoonyeshwa na nchi jirani na chuki zisizo na msingi nyie makamanda wangu na wengine niliowasahau...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Habarini wanajf. Jana jioni nilithibitisha kuwa misemo, semi na methali za wahenga zina beba maana nzuri. Story iko hivi, mtaani kwetu kuna kaka tunaishi naye, wao ndio wazawa wa huo mtaa...
6 Reactions
36 Replies
9K Views
Mpo wanaJF. Leo nina kero kubwa sana kutoka kwa mama mchungaji yule. Tuna kikundi cha wanawake mtaani kwetu cha kusaidiana katika mazuri na mabaya na pia tunakopeshana japo hatuna kibali rasmi...
9 Reactions
164 Replies
8K Views
Harusi hoyeeee
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Huwa kuna mambo napenda kuwakumbusha vijana wenzangu ili wao pia wasije kutwa na dhahma nazokutana nazo. Mwaka juzi tu mwezi January nilikuwa nimeenda kumpokea mama akiwa ametoka mkoani kuhudhuria...
6 Reactions
57 Replies
5K Views
Nipo kwenye simanzi kubwa kwa takriban wiki 2 sasa familia ya mke imenitenga ,mke kanikimbia na baadhi ya ndugu zangu wamenitenga wakidai nimewaaibisha. Siku ya tarehe 29 January mke wangu...
3 Reactions
36 Replies
6K Views
Ivi wakuu ili kupata followers wengi humu JF unafanyaje?
1 Reactions
55 Replies
3K Views
Una maoni gani kuhusu ndoa
0 Reactions
9 Replies
1K Views
msaada tutani. kwa anaefahamu, hizi code ni za mitamndao ya hapa nchini? 0622 na 0789 kama ni za kitanzania, ni mitandao gani hii? sijaandika namba yote ya simu kwa sababu za kiusalama
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana jf, Mwaka 2012 kipindi cha sikukuu nilienda kijijini kutembelea ndugu zangu, baada ya siku kadhaa dada yangu akaomba nimpeleke kwa rafiki yake hawajaonana siku nyingi, Tumefika pale...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Wote ni marais ambao misimamo yao imekuwa haiaminiki kufanikiwa kwa baadhi ya raia wao lakini wakielekea kuwa na misimamo ileile na wakijitahidi kusimamia katika wanachokiamini kufikia katika...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Nilipoyaanzisha kama na huyu binti. Tarehe 11 mwezi novemba 2017 nikiwa ndo naanza muhula wangu wa mwisho pale chuoni. Mdogomdogo tukaenda mpaka nikajua ndo mke wa ndoa. Kumbe tapeli tu na Mganga...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Katika uchunguzi Wangu Sijaona nguo aminifu na vumilivu kama Nguo ya ndani alimaarufu Kama "CHUPI...!" Inaona mengi lakini haitoi siri.. Inahifadhi nyeti zenye kila aina na kila sifa kuna Kubwa na...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wasichana wengi wana Ndoto za kuolewa lakini ndoto hizo zinaelekea kuyayuka. Wanaishia kuchezewa na kuachwa. Ndoa sio kitu cha mchezo au cha majaribio. Yaani Ili uolewe unahitaji kuwa na vigezo...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
A husband visited a marriage counsellor and said: "When we were first married, I would come home from the office, my wife would bring my slippers and our cute little dog would run around barking...
1 Reactions
0 Replies
742 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…