Wakuu Kama topic inavyojieleza hapo juu. Kumekuwa na Hali ya mtu kutumia avatar ya mtu mwingine kitu ambacho sio kizuri. Kuna watu ambao ni maarufu duniani kama Barack Obama, cr7, messy na wengine...
I love JF because of it's educative contributions "in kiswahili"from its members but when the thread is posted in English very few come out to contribute.
I have also noted that the only guys who...
e.
THE SECRETED OF SUCCESS
A young man asked hassan the secret to
success. hassan told the young man to meet
him near the river the next morning .They
met. hassan asked the young man to walk
with...
Habarini za asubuhi, ni siku nyingine tena ya jumatatu tulivu, tuna kila sababu ya kumshukuru MUNGU kwa kutujaalia afya tele niende kwenye mada, ofisini kwangu kuna dada mmoja muhudumu wa ofisi...
Salamu sana. Na baada ya salamu je hujambo? Mimi sijambo kabisa.
Dhumuni la waraka huu ni kukupongeza kwa utendaji kazi wako. Ilikuwa jana 24/8/2017 ambapo katika mojawapo ya kijiji cha wilaya ya...
Jamaaa kapata wageni bila kujiandaa, Mara mke wake akahamaki, baba J, nitawezaje kuserve chai isyo na sukari mbele ya marafiki zako maana hata ile ya mtoto haiwez kuwatisha wote.
Jamaa akafikiria...
*TAARIFA*
*Kwa wale ambao hamjaoa kuweni makini Sana manake unaweza oa MTU anadaiwa na Bodi ya mikopo ya elimu ya juu Milion20 utazilipa mpaka ukome.*
*Utaratibu mzuri ni wewe kwenda bodi...
Yule mkaka nnaemkubali ,nnaempenda (hapa sasa kila mmoja atatoka na wazo lake mtajijua wenyewe maana binadam mna hila nyie)haya sasa nalikubali sana hili li mkaka lizuri zuri yaan unaweza mtafunia...
Nimetembelea maeneo tofauti tofauti katika mwisho na mwanzo wa mwaka huu Tanzania na visiwani Zanzibar sio siri hali za uchumi wa mtu mmoja mmoja ni ngumu sana.
Watumisi ktk NGO's wanapunguzwa...
Wana jf hope mko poa uku mkiendelea kumalizia malizia weekend uswazi kuna mashushu hatari iko hivi
Nina mwezi kama mmoja nimeamia uswazi hapa nilipoamia tunaishi wapangaji watatu wengine wote...
Wazee wa humu jamvini kwanza shkamoni.
Mimi ni wa 30's.Huu ni uzi wenu karibuni mtufunze vijana wenu.
Mambo yote mtakayosema hapa yenye busara, kwetu sisi ni mali, maneno yenu hapa ya busara...
Eti wanatudharau wanaume wa mjini atuna nguvu za kiume...mbona madada zao wakija kufanya kazi huku mjini, tunawapaga mimba [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]...