JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Since Magufuli has been the most mentioned name in Tanzania this past year, I think Oxford dictionary should consider creating a space for him in the dictionary. like; Magufuli: /Ma-gou-fou-lee/...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
HABARI WAKUU UKIWA UMEJIPUMZISHA KUTOKANA NA KAZI ZA HAPA NAPALE NIVYEMA KUCHANGAMSHA MIND SASA NIMELETA HAKA KASTORI ILI TUPOTEZE MUDA WA KULALA Unaambiwa alikuwapo m bongo , mchina na mkorea...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni mfanyabiashara wa vocha za simu. nimeuza vocha toka hasubuhi mpaka jioni. ilipofika jioni wakati nafunga duka,mteja akaja na kuniuliza "VOCHA SHILINGI NGAPI ? mi nikamjibu bei ya vocha...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Tujitahidi tujikwamue na hali zetu duni
0 Reactions
2 Replies
462 Views
Nakupenda mom, umefanya mengi kwa ajili yangu ulinibeba tumboni mwako miezi 9 wewe ndio unaejua ukweli wowote kuhusu mimi wewe hukulala mpaka mimi nilale wewe hukula mpaka mimi nile hukuvaa...
3 Reactions
19 Replies
22K Views
Tumezoea kuna misamiati iliyoozoeleka katika mazingira fulani,...mfano humu kuna neno,ukilitumia watakuelewa membaz wa humu tu,...Twambie huko uliko simu za touch mnaziitaje?
3 Reactions
117 Replies
6K Views
hi
hi
0 Reactions
8 Replies
716 Views
Niaje wadau, Swali kwa wale wenzangu na mimi tulioweka picha zetu kama profile picture humu JamiiForums, ama kunogesha zaidi wenyewe wakaita avatar. Utajisikiaje siku mtu anaiba picha yako alafu...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Hapa JF kuna majukwaa mengi, kila mtu ana uhuru wa kupitia jukwaa analopenda kulingana na maudhui ya anachotaka kujifunza/kusoma mfano mambo ya elimu, siasa, mapenzi n.k Binafsi napenda sana...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mdada mmoja alienda kanisani kuungama,akaingia katika kichumba cha maungamo akapiga magoti mbele ya padri.akaanza kutaja dhambi zake.'dhambi zangu ni hizi,niliwatumia watu wengi sana messege za...
1 Reactions
45 Replies
24K Views
Imezoeleka kwenye mitandao ya kijamii kusikia kila kitu kibaya wanapewa wanaume wa Dar, ****"poor performance kunako 6/6, sijui eti vibamia, n.k Yawezekana madai hayo in kweli, ila tukubali kuwa...
1 Reactions
4 Replies
707 Views
Nilifika harusini, na kukuta milango miwili, mmoja umeandikwa ndugu wa Bwana Harusi, mwingine wa bibi harusi; nikaingia wa Bwana Harusi. Mbele nikakuta milango mingine miwili, mmoja umeandikwa...
13 Reactions
28 Replies
4K Views
*DADA* alienda Salon wakati anasukwa akaingia *MKAKA* mtanashati, *DADA* akaamua kujaribu bahati yake. *DADA*: Mambo? *KAKA*: Poa. *DADA*: Mimi na wewe tunaweza kuongea baade? KAKA:Kuhusu nini...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za usiku wakuu. Ninao mbwa wangu wawili midume yote, niliwahasi mapema miaka ya nyuma. Kila siku sa nne usiku ndo nawatoa toka kwenye banda lao. Nilichokiona muda huu nimekasirika...
3 Reactions
46 Replies
3K Views
Love all
0 Reactions
1 Replies
471 Views
Kama kujiajili ni moja ya chachu ya kupata pesa basi naombeni mniongoze n wapi nitapata soko la kuuza MENDE? Kama pia kutakuwa na kiwanda cha kusindikia hao wadudu naomba mnisukumizie huko maana...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Katika utafiti wa kijiografia huko Marekani, imegundulika kuwa katika sayari ya jupiter pia huishi binadamu kama sayari yetu hii ya dunia [earth]. Tofauti iliyopo kati yao na siye ni kwamba, sisi...
25 Reactions
402 Replies
44K Views
Heshima kwenu wakuu; Hapa buguruni ilala dar kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu biashara za vifaa vya ujenzi. Hivyo basi leo nitajibu baadhi ya maswali machache nitakayoulizwa.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…