Jamaa mmoja alienda kukata miti polini.. wakati anakata ghafla Panga lake likadondoka mtoni...akaanza kulalamika sana...
malaika akatokea na kumuuliza kwanini analia..
Jamaa akamjibu nimedondosha...
Marafiki wawili*(Elias na Ben)* walikuwa wanatembea mtaani akatokea mwanamke akarusha busu kwa mmojawapo kupitia dirishani katika jengo la ghorofa tatu.
Wakaanza kujadiliana kama ifuatavyo:
Ben...
Baadhi ya ninayokumbuka na mambo mazuri toka hapa
1. Email toka kwa nisiyemfahamu kutaka nijiunge Jambo Forum mwaka 2006
2. Enzi ambapo Invisible alikuwa maarufu sana
3. Nakumbuka habari nyeti mno...
Vyuma vimekaza, grisi imekua shida kupatikana na watu tupo busy na maisha. Hivyo kwa namna moja au nyingine unawezajikuta unakosa muda wa kupata habari, kupitia uzi huu tuwe tunapeana updates ya...
sitosahau nilipokaa siku 3 bila kula nyama, nilihisi kuugua na kupelekwa hospitali, kabla hatujafika hospital niliingia KIOSK nikala kilo papohapo nikakaa sawa, sa hiv mimi ni mzima wa afya, lakin...
Habar wana JF
Katika pitapita zangu katika nyuzi za JF Nimekutana na ID ya le mutuzi ambayo ilikuwa active sana miaka ya nyuma.
Lakini sasa hayupo active sana Jf huwa anakujaga tu...
[emoji121]
WAKUU,
TANZANIA NDIO NCHI PEKEE AMBAYO MATATIZO YA KWENYE JAMII BADALA YA KUFIKISHWA KWENYE NGAZI AU VITENGO HUSIKA ILI YATATULIWE,
YANATATULIWA KWA NAMNA HII
[emoji116][emoji116]
Da...
Wanahabari wenzangu.
embu tujulishane ni memba gani humu awe ke au me siku mkionana live utahisi aibu au kujishtukia???!!
Mara nyingi kama sio zote humu majukwaani hatujuani.kila mtu ana michango...
Nataja majembe ya mikoani yaliyotukuta wengine mtawataja na mtajitaja ,,nani anaefaa kuwa mwenyekiti na katibu wake
Wanaume wa mkoani wanasifika kwa vitu vingi hasa nguvu nyingi za sehemu zote...
Ikiwa utaweka nia na ku-dedicate
muda wako kujifunza na kufikiri
ni applications gani waweza
tengeneza na kufanikisha.
Waweza jikuta unauaga
umasikini bila kutarajia, kwani
wapo vijana wengi sana...
Matabibu wanahangaika kila kukicha kunusuru ndoa za walio wengi wanaume wanakesha kwenye vibanda vya supu ya pweza wanaume wamekaa wakikereka na msemo wa wanaume wa Dar, wanaume wamekua wakikesha...
Wanajamii ninakama siku nne hapa mjini Tabora yaani nshaboeka na kazi ndio ipo nusu, ningependa kujua maeneo mbali mbali ninayoweza tembelea nikiwa hapa tabora ili nisiboeke.
mfano: Sehemu za...
Mapenzi yana nguvu kiasi gani ?
Pasi na shaka mapenzi yamebeba maisha ya mwanaadamu na huwezi kutengenesha maisha ya mwanaadamu na mapenzi hata mtu awe kauzu kiasi gani au busy kiasi gani lazima...
Wadau nimeshuka leo Tabora kikazi.Tabora ya sasa sio kama ya zamani.Kinachonifariji ni hawa warembo mixer wa Uhazili, Watoto wazuri,wakienyeji na wa tauni.Wamepamba mji safi sana.mwezi jana...
1 lazima na ww uwe bora kwanza
2 lazima ujiheshimu ww kwanza
3 kama unataka mwenye gari hakikisha na ww unalo nyau ww
4 ukitaka msomi na ww uneishia la 7 au fom 4 jua unajidanganya tafuta level...
Wakuu za asubuhi..
Ningependa jua utaratibu uliopo kwenda nchi za Norway au Sweden.... Je visa yake ni bei gani au ni free of visa?? Na kingine kama kuna mtu anaweza Fanya connection anijulishe...
Wakuu shida ni nini kwani? Iv kweli duniani mliona wapi mtu akaleta habari, makala au swala flani tena akatumia muda mwingi kuandika na kuelezea alaf nyie walimwengu makumi kwa maelfu ila wachache...