Wadada hatupendi vinywaji vikali na vyenye ladha kali au mbaya wengi tunafurahia uwepo wa savvana.
Nakipenda kinywaji hiki jaman nawakaribisha wadada wa Jf muanze kutumia.
Unaweza mkuta member wa Jf anatumia mitandao mingine kama facebook,twiter na kwingine lakini kote huko anatumia jina lake halisi na ameweka hata baadhi ya taarifa zake wazi.
lakini unapokuja...
Habarini wakuu.
Kuna mdada mmoja full fake yaani naamanisha rangi yake ni bandia, kucha bandia, shepu bandia, nywele bandia, kope bandia na sauti yake anajifanya ni Mmarekani.
Alichoniudhi ni...
Napenda kuwataarifu kwamba msichana aliyezaliwa jioni ya tarehe 15 Januari 2000,, kuanzia leo tarehe 16 Januri 2018 ni halali kwa matumizi ya binadamu wa kiume kwa mujibu wa sheria za kimataifa...
Nmeingia zanzibara alasiri hii naomba sana wadada wa huku tuwasiliane.ili nipate mwenyeji anitembeze maeneo mbalimbali.
Kuna maeneo nayasikia tu ila sasa nataka niyafikie na pia kuona watu wake...
Kama una ndugu yako amemaliza kidato cha nne na yuko nyumbani anajua kuongea na kuandika kiswahili na kiingereza kwa ufasaha
Na yuko tayari kufanya kazi kwa mshahara wa laki nane (800,000/=)...
Yaani unakutana na mtoto mzuri, halafu unasikia anakusalimia eti "shikamoo ", shit!, Alaaah!, Mwingine utamsikia "shikamoo baba ".
Wee tafadhali, nilikuzaa lini? Mbona tunazeeshana jamani...
DOMO ZEGE BANA
*Manzi anakupenda balaa.. Anasubiri wewe tu umwambie ili muanze maisha matamu. Tatizo moja linajitokeza, we ni domo zege*
*Unajikakamua usiku huo, unamtumia meseji kuwa unakitu...
Washikaji eeeh Ilala, Kino, Temeke,
Hawa jamaa wanakuwaga wapole sana wanavyokuja tuwapeleke K/koo, mara beach, tena wengine wakifika Coco huwa wanaonja maji ya bahari, sisi tunakausha tu...
Baada ya kufanya utafiti usio rasmi Leo nahitimisha kwa kusema katika nchi za East Afrika Kenya kuna mademu wakali kuliko nchi zote.Kuanzia Shepu(Chura),reception/mapokezi/sura na rangi hadimu...