JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
0 Reactions
0 Replies
645 Views
mmefuta uzi wangu ,,sisi hua tukikashifiwa hamfuti nyuzii,,wabebenii lakin ndio hivyooo Eti cha nani hikii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
0 Reactions
58 Replies
3K Views
Napenda kuchukua nafasi kuwaaga rasmi wana JF wote. Nashukuru kwa ushirikiano wenu. Mungu awabariki sana. tramadol
1 Reactions
86 Replies
4K Views
Hubert Humphrey once said, "The greatest gift of life is friendship," For your special day, I tried to find the right words to show you how I feel about our friendship. I could only think of one...
14 Reactions
502 Replies
19K Views
  • Poll Poll
Recently there have been many videos in United States about video game named „VRChat". In these videos, jokes about character named „Ugandan Knuckles" are made frequently. I have some of these...
0 Reactions
0 Replies
616 Views
Habari wadau; Naona vijana wengi sana wanatumia Ugoro,tena vijana wanaaonekana watulivu wanakula sana ugora mpaka inaanza kunipa tatizo Swali:Je Ugoro ni mihadarati?na hivi unatokana na nini...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
A Primary School teacher asked her pupils to writean essay on ”A wish you want from God?" At theend of the day, the teacher collected all the essaysgiven by her pupils. She took them to her...
1 Reactions
1 Replies
937 Views
Tumefanya kazi kubwa hapa jukwaani kuelimishana, kurekebishana na mambo mbalimbali, leo tukumbushane uzi wako wa kwanza kuuandika hapa JF. Mimi nilianza na uzi unaitwa "Tusalimiane kinyumbani"...
3 Reactions
12 Replies
905 Views
Wakuu nimeleta mrejesho wa uzi wangu niliokuwa naomba ushauri jinsi ya kuanza kunywa Ethanol, kiukweli nimegundua kuna kitu nilikuwa namiss, maana nimeuona ulimwengu ni wa tofautii sanaa kwa sasa...
5 Reactions
78 Replies
4K Views
Ukizoea kuiba aiseee hata ww mwenyewe unaweza kujiibia, ccm wameshinda kiti cha ubunge jimbo la songea mjini kwa kura 45162 huku waliojiandikisha kwenye daftari la wapiga kura ni...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimemsikia baba mmoja akimweleza mwenzake kwamba sasa hivi watu wanamshambulia rais Trump wa marekani kwa kuwatukana watu watokao Haiti na Afrika kwamba watu hao wanatoka nchi za shilole na...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwalimu mpya wa history alifika class kufundisha mambo yalikuwa hv; MWL: Nani alimuua mkwawa? MADENTI:Sio mm mwl.kila dent. mwalim akamwambia headmaster vituko vya wanafunzi,ajabu headmaster...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Asubuhi nimepiga deshi. Saa 5 chapati 2 na chai jumla sh. 500. Mchana andazi moja la Azam pamoja na MO passion, hapa ikiwa ni 700/= . Jioni hii nimetumia 300 kununua mboga za majani, unga Upo...
2 Reactions
40 Replies
6K Views
Wavuta bangi watatu wamevunja duka la dhahabu ili waibe, [emoji536] Mmoja kachukua dhahabu, Wa pili kachukua pesa[emoji383][emoji385], Wa tatu kakaa dukani,[emoji15][emoji15] Mwenye duka kaja...
8 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanaume wa Jamiiforum wana sifa kedekede za kuvutia na kufurahisha. Kwa kuangalia Avatar, I'd na michango yao kwenye nyuzi mbalimbali . Zifuatazo ni sifa za wanaume wa Jf Kwa utafiti wangu...
24 Reactions
350 Replies
15K Views
Mim bibi yangu upande wa baba ana vituko huyo,anaongea kuanzia asubuhi mpaka tunaenda kulala Bibi yangu hua anaamka saa 12 asubuhi ole wako uchelewe kuamka ataanza kusema sijui mtaolewa na kina...
19 Reactions
139 Replies
11K Views
Kumbe hata Wazungu nao cha kuandika kinawagonga! Oneni hiki kama kiko grammatical "Bye bye ! If your a fan only when a team is winning then your not really a fan that our great club wants"
1 Reactions
8 Replies
893 Views
wadau naombeni msaada wenu jimsi ya kupata connection na wigizaji apa bongo kwani nina kipaji kikubwa cha kuigiza na kutunga stori nzuri mfano wa stori zangu ni ,part of life, unexpected...
0 Reactions
6 Replies
926 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…