Ikiwa majira ya saa mbili na dakika ishirini katika mfumo wa saa ishirini na nne.
ghafla kandoto kananijia naona mafuriko makubwa yakihama upande mmoja na kuelekea upande mwingine.
ghafla namuona...
Usiku huu wa mwaka mpya nimeshatumia karibu laki 6 mpaka sasa hivi nishatumia 560000 usiku huu tuu,
I dont care hata iishe milion moja jaman leo birthday yangu naenjoyy tyuuu
Wale wapenz wa wine...
Naomba niende moja kwa moja kwenye point, nikikumbuka enzi hizo siku unapikwa wali, mtu ulikuwa huchezi mbali, utajizungusha na kufanya kazi ya kila aina ili kuusukuma muda ili muda wa kula wali...
Hii ni mikoa ya Tanzania ambayo nimeweza kuishi kwa kipindi nilichoishi duniani
1. Dar es salaam ( miaka 20)
2. Morogoro (miaka 4)
3. iringa (wiki 2)
4. Kilimanjaro (mwezi mmoja)
5. arusha ( miezi...
Haka ka-wimbo ka tangazo lao la Smartika kanaishaje pale mwisho sijui? Najaribu kukasikiliza kwa makini lakini nashindwa kuelewa wanamaliziaje. Mnh...nisaidieni wenzangu mnaosikiliza vizuri zaidi!
Yani unakuta mtu umekaona katoto kakali facebook ile unakatext tu "HI" Kenyewe kanajibu "HI KAKA",,,hapo unaanza kuhisi dalili mbaya
au kanapost picha facebook halafu ghafla mwenzake anacomment...
Yani unakuta mtu umekaona katoto kakali facebook ile unakatext tu "HI" Kenyewe kanajibu "HI KAKA",,,hapo unaanza kuhisi dalili mbaya
au kanapost picha facebook halafu ghafla mwenzake anacomment...
Mbunye papuchi dushe..n.k
Baada ya kuingia jf nikayakuta maneno haya yanatumika
Mara ya kwanza sikuelewa yanamaanisha nn
Na nilipojua maana yake nilijichekea pke yangu km chendu
Heko kwa kwa...
A Man had 3 problems:1: He was very poor.2: He has no children with his wife.3: His Mother is blind.An Angel appeared to him and tells him he can only make one prayer request, only one! But his...
Ndg Figakei Magodoro ambae ni kiongoz wa wafugaji, ameamua kwa hiari yake kuhama kwenye pori la hifadhi tengefu na kujiunga na Chuo Cha Mafunzo- Iringa Veta (CCM-Iringa Veta)
Hivi ushawahi kuwa na stress za mwezi January mpaka rafiki yako anakuambia harusi ya Dada yake kesho.......wewe unamuuliza mwili unafika saa ngapi.....:):):D:D:D
Nimeicopy sehemu Fulani......
1 - Hammock Bed
2 - The Hamburger Bed
3 - Ice Bed in the Ice Hotel
4 - The Pirate Ship Bed
5 - Swimming pool bed
6 - Star Wars Eta-2 Jedi Star Fighter bed
7 - The Birds Nest Bed...