Jumapili njema
Ni wiki ya pili tangu nimeanza kujipiga balimi lakini sielewi kwanini silewi kama wenzangu na siyumbi,sasa nataka kujua ukilewa unajuaje kama tayari goma limekolea mimi naona...
Habari wana jf kama kichwa cha uzi hapo juu wale ambao tulikuwa na katabia ka kutopenda kuvaa shati lenye nembo ya shule ili tusitambulike kirahisi tunakosoma ama kwa sababu nyingine tofauti...
Habari zenu wana jf.Niende kwenye mada ni hivi sina uwezo wa kukumbuka watu wangu wa karibu
Mimi nimesoma shule ya msingi makumbusho(2006)nimehitim lakini hakuna hata rafiki yangu mmoja...
Ni Karibia Mwaka sasa, Nimefungua account JF japo nimekuwa nikisoma Makala za Humu kwa zaidi ya Miaka Saba iliyopita.
Unaweza Kuniuliza Chochote Kuhusu Mimi Nikakujibu Kiufasaha.
Sasa ni takribani miaka 20 inakarabia tangu kombe LA dunia LA mwaka 1998.
Moja kati ya best players niliokuwa nawakubali enzi hizooo.
Katika timu ya croation kuna mchezaji alikuwa anaitwa davor...
Masaa ndio hayo kabla wazee wa ngindo hamjanyonya, kabla wazee wa moshi hamjapuliza, kabla wazee wa chupi hamjazitoa kwenye viwiliwili vya wahusika katika kusherehekea ujio wa mzee 2018 tutumiane...
Habari za jioni wadau. Nimekaa pub moja hapa Jijini kwa wala chips mayai.
Kuna bidada moja kaingia amevaa nguo fupi, shida ni umbo lake hata sanamu la Michelini lina nafuu yaani inakera, kwa...
*KUMECHISHA NI NINI?*
```Kumechisha ni pale *Simba kucheza mechi 4, imepata points 4, imefunga goli 4, imefungwa goli 4, inarudi Juma4 na boti ya saa 4.*```
[emoji23][emoji23][emoji23]
MAISHA NA MAAJABU YAKE
[emoji818]Mmliki wa kampuni ya TECNO anatumia Iphone
[emoji818]Kiwanda cha kutengeneza mishumaa kinatumia umeme
[emoji818]Meneja wa kiwanda cha bia anakunywa soda...
Mkija mjini manzie Coco Beach muoge maji chumvi,Maana mkija mjini mnanuka sana tukipanda nanyie katika daladala tunatamani kushuka!
Kingine mna wivu sana mkiona mtu katiia V8 au Discover 4 ,Prado...
<b>Time to Laugh!!!!!!!!A graduate in Biology was havingdifficulty in finding a job. He sawanadvert in one of the dailynewspapers for a job at a zoo.In the interview, the managertoldhim that their...
Mwaka ulioisha ulikuwa na maajabu yake jamani,loh!nadhani hatutayashuhudia tena.
_mazishi ya kitaifa ya kamanda mbwa.
_Dr Shika na Mia tisa yake,
_Babu seya na mwanawe kusamehewa.
_Lulu mtoto...
Leo nimesikitika sana nimeamka nimekuta mvua kubwa sana na baridi na kwa bahati mbaya au makusudi Tanesco wamekata umeme na kiukweli nimesononeka sana sababu Tanesco wana hatarisha kazi yangu...