Kwenye TVs na radio hakuna muda napenda kama ule wa matangazo kama ni mpira au taarifa huwa nasubiria ipite nisikie/nione matangazo hasa yale yenye ubunifu.
Mpenzi wa matangazo weka lililowahi...
Leo December 9 2017 siku ya kumbukumbu ya uhuru wa Tanzania bara.Rais wa jamhuri ya muungano ametoa msamaha kwa Wanamziki Nguza Viking Maarufu kama Babu Seya na mwanaye Papii Kocha.
Hapa...
Wanaume wenzangu mbinu hii!
# Ukigombana na mke wako na akawa ni mwenye kiburi na mwisho wa siku akakununia hata kuongea na wewe hataki, usipaniki sana.
Fanya hivi;
Kaza mfuniko wa chupa ya...
Ni member waliokuwa active sana hasa kwenye jukwaa la Siasa kutetea vyama vyao, pamoja na utetezi huo kwa vyama walikuwa wakichangamsha jukwaa. Ni muda mrefu sasa member hawa wamepotea, kwa...
Dah.! leo ijumaa nipo hm tu
Enzi zangu mida kama hii saa tano usiku natoka zangu nahama viwanja mpaka tu majogoo.
[emoji27] [emoji27] kweli tumenyooka awamu hii
Mimi ni member ambaye sina umaarufu wowote hapa JF.Lakini siku chache zilizopita nimekuwa mpinzani mkubwa wa vitabu vya dini hasahasa Biblia nikidai ni kitabu cha uongo na cha kufikirika.
Lakini...
Mi nachukulia kama jambo la siri
Eeeh utafanyeje hivyo mtu akusikiee mazee.
Hembu tujieshimuni bana ukijisikia toka nje
Sii lijitu unalitoa tu mbele za watu tena wakati wa Kula ni ntaacha Kula...
Kwa jinsi walivyo onyesha utalaam wao wa majengo , mamlaka zifikilie kuwapa miundo mbinu mikubwa hasa ile inayo hitaji expansion Joint. Na moja ya miradi hiyo ni daraja LA ubungo ambalo...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Naomba utoe coment unieleze ukweli wote nakosea wapi na nijirekebishe wapi
Nichane mkuu
Nichane makavu live
Kama ni ushaur naomba unishaur mimi kama...
Bill Gates, tajiri namba moja duniani, yeye anasoma vitabu 50 kwa mwaka (wastani wa kitabu kimoja kwa wiki).
Warren Buffet, Tajiri namba Mbili duniani, anasoma kurasa 600 kwa siku (wastani wa...
Tumegombana sana na mzee kuhusu ishu ya kubeti infact hataki kusikia wala nicheze hii kitu,,mm kama mm nachukulia ni mchezo tu ila kwake ipo tofauti ,,changia kipi sahihi anachosema dingi au...
Kuna kipindi fulani kama binadamu unakumbuka maisha fulani ulowahi yapitia yawe mazuri au mabaya !
Binafsi kuna maisha fulan nayamiss, sio kusema sipendezwi na maisha ninayoishi sasa nimeridhika...
Its Friday, its hot talk.
Nawakaribisha jukwaani mpate mavituz, mambo ya ukweli kabisa.
Leo tunae HOE! Binti anaesifika kwa mrengo wa kulia huyu! Leo tumebadili upepo kidogo.
Tumehama kidogo...
Kila mtu ana starehe yake... Mwingine Mademu, mwinge mpira n.k mimi napenda sana yale maji ya mende.. Sasa weekend iliyopita nilikua Jiji Mwanza kikazi ndo nimeondoka leo kutoka hilo jiji la...
Hivi kwa muda huu wengi wetu hupenda kubuni tabia za ugeni na kutembea ili kuzuru maeneo mapya. Hivi sehemu gani haswa tanga waeza toka na ukajinafsi na ukala bata?
Unlimited responses expected...