1.Siwezi nunua gari kwa mkopo
2.Huyo bwana wake mkubwa kuliko yeye, alifuata pesa tuu
3.Iphone kitu gani, simu simu tuu bora mawasiliano
4.Siwezi kula chakula cha kwenye fridge
5.Anajifanya...
HELO MARAFIKI ZANGU LEO NI SIKUKUU YANGU YA KUZALIWA NINAJIPONGEZA KWA KUZALIWA TENA UPYA NINAMSHUKURU ALLAH KWA KUNIWEZESHA KUWA MZIMA MPAKA LEO KUIONA SIKUKUU YANGU YA KUZALIWA ALHAMDU-LILLAH...
Jana jioni nilimpitia mrembo flani jirani yangu kumjulia hali.wakati akinisindikiza tukapita sehemu kuna uwanja wa mpira ,basi nikaanza bwebwe kujisifia kwamba timu kibao zilitaka kunisajili...
Nilipotoka Magu sekondari ili kwenda shirika la Mapadre wa SFS nilifika Wilayani Kahama mwaka 1998 na kughairi safari ya kuwa Padre Mimi Deogratius Nalimi Kisandu na kuanzia Februari 1998 mpaka...
Hili hapa linakuja...
1. Nawapongeza wale wote waliozaliwa mwezi huu wa 6.. Ntuzu wa tarehe ya leo, Passion Lady, kabanga, muuza ubuyu na wengine wote nawatakia maisha mema, marefu...
Habari zenu wadau!!
Nitoe udaku kidogo, baada ya wahusika wakuu
Baba V na TANMO kuishiwa habari.
This is udaku special edition!!
1. Bishanga atoweka Jf baada ya kuoteshwa kitu kibaya...
Najua unafuraha sana kufika katika siku hii ya Leo. Furaha yako ndio uzima wangu. Kuzaliwa kwako kumeifanya dunia istarehe Kwa kuwepo mrembo kama wewe. Natambua nafasi yako katika Mtima wangu...
Wakuu habarini za Jioni!
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza, ninaomba kutoa masikitiko yangu kwa hawa wadada humu JF wanaotangaza kutafuta wenza.
Hawa nimegundua kuwa wapo humu...
Wadau Kwema Nin Unacho Kumbuka Katika Huu Mwez Wa 12
Mwezi Uliijaa Mambo Mengi Zaid
Kikistro Huu Mwez Una Mana Kubwa Sana
Mim Binafsi Nakumbuka Huu Mwez Ukisha Ingia Tareh Kama Izi Mzee...
ha ha ha ha ha ha ha ha!! uuuuuwi....teh teh teh teh teh....!!! oooh!! ha ha ha ha ha .......nakufa mie kwa kicheko....hahahahahaha!! aloo ni noma...teh teh teh teh!! dah! jamani acheni tu...
NImesikia hili swala mara nyingi sana yaani akili za darsani na za maisha....!
Je Akili za darasani ni zipi na za Maisha ni zipi!?
Naomba Kila Mtu Ajibu kwa mtazamo wake...ili Kila mmoja again...
Shimboni Shanii.
Kama kawa kama dawa, mwenye wivu nampa kamba ya buree.
Haina kweree, hainaa nomaaa.
Leta maneno hapa chalii, semaa hii kirisimasi tuauliaa wapi we jamaaa.
Mimi nimejichanga vya...
MKOSI NI NINI
Mkosi ni pale umekutana na dada mzuri barabarani , ghafla upepo mkali ukafunua sketi yake ..
Na wewe Jicho lako likaingia mchanga .. Utatamani kuwe na...
*Sasa Hivi Hata Yale Magari Ya Kuvuta Mavi Wanalia Njaa, Wanasema Biashara Ngumu.*
*Na Ukiangalia Ni Kweli Kwa Sababu Mtu Anakula Chips Kavu Na Soda; Ni Lini Choo Kitajaa?*
#.
wakuu kama Kichwa cha thread kinavyosema nina simu yangu mpya nimenunua toka Ebay sasa ipo netwek locked ya kibongo....!
kama wewe nimtaalamu wa kufungua nipe S5 32Gb mimi Nikupe Hii S6 64GB...
Jana nilikuwa natoka zangu Dodoma kuja Arusha kwa kutumia usafiri wa basi la (...) Nilikaa siti ya dirishani, pembeni alikuwepo dada moja mrembo kweli. Muda wote alikuwa busy na simu yake...
Wadau,
Ni December sasa. Na ni mwezi wenye matukio mengi sana makazini, mabarabarani na siasani. Naomba December hii tuchukue fursa kuombea taifa letu na tuombe msamaha kwa makosa ya kibinadamu...
Kuna kipindi ulitokea msiba kijijini,sasa Bi.Mkubw na ndugu wengine ikabidi waende maana marehemu alikua Mtu muhimu kwao (shangazi yao,ndie aliebaki katika ukoo wa kina babu).Basi Maza kaniagiza...