JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Rafiki yangu alikuwa amesinzia tukiwa darasani, nikachukua simu yake nikabadilisha alivyosave namba yangu nikasave "lovely dad" (ndivyo alivyokuwa amesave jina la baba yake mzazi) Nikamumia SMS...
12 Reactions
41 Replies
5K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Siku kama ya leo alipata kuzaliwa mke wangu mtalajiwa aendaye kwa jina la butogwa shija Butogwa shija alizaliwa...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
huyu ni mmoja ya jamaa zangu wa karibu sana humu JF Joseverest ni kitambo sana haonekani na kitu ambacho kimeleta waswas sana kwa sisi rafiki zake. maana Mtaani ( Jamiiforums) haonekani. mi...
6 Reactions
47 Replies
4K Views
Walio kwenye kundi hili jitokezeni na muone aibu....
5 Reactions
75 Replies
6K Views
1. Hembu fikirini waziri Mwijage katangaza ndani ya miaka 2 vimeongezeka zaidi ya viwanda elfu 3 wakati muda muu ninapoandika uzi huu hakuna umeme karibu nchi nzima, zaidi ya yote hakuna ajira...
4 Reactions
7 Replies
4K Views
Wadau Katika familia ya JF nimetokea kuvutiwa sana na kazi za JF Expert member Donatila. Anao uwezo mkubwa wa kutafuta taarifa za uhakika, kuzichambua, kuziandaa na kisha kuzitoa kwetu.Aidha...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wewe kama ni mbaya jua ni mbaya tuu achana na kuongelea " UZURI WA NDANI " hakuna mtu anatembea na x-ray scanner eboo!
1 Reactions
25 Replies
2K Views
*Kuna msichana tukiwa Sec School nilimwomba anionyeshe maziwa yake akawa mkali kibingwa,* *sasa hivi yuko pembeni yangu kwa daladala ananyonyesha.* *Nayaona live* . Malipo ni Hapa Hapa duniaa...
5 Reactions
12 Replies
3K Views
Amani iwe juu yenu. Jamii forum Ina viwanja vingi ambavo wataalam walivigawa kwa kujua wazi Kila mtu atakuwa na interest ya kupata info na mambo mbali mbali ya vitu au maswala anayoyapendelea...
2 Reactions
90 Replies
4K Views
Wasalam: Mm nakumbuk mwaka 2012 kimara stop over nilipokuwa naishi, sasa nakumbuka ilikuwa weekend moja hivi nikatoka kuzurula zangu, sasa kwenye mida ya saa moj hivi nikarud zangu home...
2 Reactions
11 Replies
991 Views
Imekua kama fasheni sasa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, the most ni Facebook.unakuta wadada kwa wadada wanaitana majina yaliozoeleka kwa mwanamke na mwanaume ambao wana mahusiano ya...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Ukimchukua mme au mke wa mtu, hata kama ni kwa siri wewe si binadamu bali ni KIFO. Maana kwenye kiapo walisema atakayeweza kuwatenganisha ni KIFO TU. Sasa unapowatenga ujue kabisa wewe ni KIFO
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Mimi siwezi kushangaa, sana sana nitashangaa anayeshangaa !
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamaa kavamia semina ya wasomi iliyokua inafanyika maeneo ya ubungo plaza basi wakaanza kujitambulisha 1. Naitwa Anna niko SUA mwaka wa 3 nasoma agriculture 2. Naitwa Stella niko UDSM mwaka wa 2...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa wasiolewa kingereza maandishi yanaelezea jinsi huyo dada anamzuga mumewe kapokea simu kumbe hajapokea. Simu hiyo ni ya mchepuko anaogopa angesikika, cheki jamaa alivyotega sikio angalia kwa...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanajamvi naomba kujua inawezekana vip ?kukaa bila kuchepuka .kulingana na utandawazi na vishawishi tunavyopata kutoka kwa dada zetu.me napata wakati mgumu kuvumilia labda nisiwe na mia mfukoni...
1 Reactions
50 Replies
3K Views
Ebwanaeee ebu wanao elewa tuelewesheni asee
0 Reactions
89 Replies
13K Views
Pombe Na Mbunye vilikuwa vinanicost sana.Lakini Toka nimeacha hivyo vitu nashangaa nimeshikwa Na Ulevi mbaya wa Kubet. Kubet kunatafuna hela kinoma.Unaliwa Leo hela unasema kesho sichezi...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…