Mchaga baada ya kufa akaulizwa na malaika anayetoa roho:
Mangi hapa ni njiapanda kulia ni Mbinguni na kushoto ni Jehanamu,
Je unachagua kwenda wapi?
MANGI: Bwashee, mi nabaki hapa hapa njiapanda...
Sipati picha mimi jamani. Wakikutana wanacheeeka mpaka wanagaragara. Esther anamwambia mumewe eti bebi wameniambia nifute picha zako huko inta sijui wanafikiria sijui sura yako[emoji16]?David...
Jamani namtafuta uyu dada toka alipohama arusha secondary mwaka 2002 ckuweza kumpata tena,though kwenye mitandao ya kijamii alijiita zulfa r ahmed bt hizo account ziko inactive.yeyote mwenye...
Nawaombeni Leo tufanye Karesearch kidogo lengo kuwatambua wenzetu wenye michango chanya Na kujenga
Kwa kutaja jina 1 tu.Kwa unayehisi anakugoga moyo wako kwa michango yake Na kukusaidia kifikra...
Kigumu chama cha makinikia! Wote tuitike KIGUMU
Nimeambiwa Kama sio kuona kwamba sasa LIKES zinekuwa dili kiasi cha kutengenezewa saco na kikoba[emoji23] [emoji23] [emoji23]! Kwamba hata mtu...
Kiukwel kuna wakati nataman iwekwe new update ya Jf ili niiupdate yenye sehem yakubadili username haya majina yetu tunayotumia mana kuna baadhi ya watu huwa wanajikuta wanajua kuchambua username z...
Waungwana naomba kuuliza....kwa wale wanaofaham machine Za kutengenezea barabara Kama moter grader...sasa kuna Aina ya 140g
Hii inanimate Mpaka milioni 120 kwa USA...Ila kwa sasa hivi china...
mchawi wa kisukuma akionyesha fisi mbele ya mchawi mwenzie mfipa anaechekelea......hawa ndio wanaoturudisha nyuma kimaendeleo.......ndio maana ufipani bado giza na sishangai waziri mkuu pinda kuwa...
ilikuwa nipo form four shule moja pale mjiini moshi, nikapataga tuition moja hivi mwishoni mwa 2012 basi kimasihara nikakutana na dada mmoja mwanafunzi mwenzangu...kimasihara tukaja kuwa wapenzi...
Kuna mchora katuni ataibuka na katuni yenye kuonesha jinsi harufu kali ya choo kilichohamishiwa Sebuleni ikiwakimbiza wapinzani kutoka Chama flani na kufuata hewa safi ya inayotengenezwa na...
Hii ndoto hii, imekuja baada ya mimi kuwa nimejifungia chumbani kwangu na kuangalia TV kwenye channel isiyopatikana hapa Tanzania. ha ha ha ha...
Channel hiyo imeripoti kuwa, Rais Museven wa...
*NDIKI*
Kwa wale waliozaliwa Dar es Salaam haswa miaka ya sitini na mwanzoni mwa miaka ya sabini wanalijua neno hili NDIKI.
NDIKI, ni kitendo, pale ambapo watoto mnataka kucheza mpira, inabidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.