Lara 1 please mama popote ulipo, i miss you so much... fanya kurudi mamii... tangu uondoke form four wengi wamejazana na kuliteka jukwaa... stori za kusadikika na kujikweza zimezidi mbaya zaidi...
Zamani mtu akipiga picha anaomba Negatives ( Ilizoeleka nega) na ana albam ya picha nyumbani, siku hizi mtu akipiga picha anaomba camera man amtumie WhatsApp na ana albam ya picha google photo ...
Soon after resigning as President for Zimbabwe Robert Mugabe advised african presidents as follows:"Hold on to power tenaciously until you are too old to be shot, amass great wealth for you and...
Leo katika nani zaidi ya redio chattle fm tunakuletea mpambano mkali wa kukata na shoka kati ya Dr.Shika na Hasimu wake Dr.Magu,
~Wote ni ma doctor
~Wote wanatokea kanda ya ziwa
~Vitu vingi tu...
Samahani wanajamvi,
Kweli kweli nimetamani sana naomba kuunganishwa na Wema Sepetu natamani kumuoa. Nasikia amekosa mtoto mi najua nitafanyaje apate mtoto tena akipata hata mapacha. Mimi nina 29...
Kuna watu tuna matatizo ya kunywa pombe kwanza kila unapotaka kufanya jambo fulani;
> Tukiwa na furaha tunakunywa pombe kwa ajili ya kusherekea
> Tukiwa na huzuni tunakunywa ili tufurahi
>...
PUBLIC SMOKING IS BANNED IN KENYA
Mother tongue interference at its best.
After public smoking was banned in most Kenyan towns, the
town clerks were obviously assigned the duty of...
Hatimae ndege joni nimetua chuo flani hapa nchini nachukua elimu za juu. Cha ajabu nilichokiona ni tofauti na nilivyokuwa nawaza kabla ya kuja kuchukua hii elimu.
Nilishazoea kujichukulia watoto...
Nikiwa Mpweke ni wewe Unanifurahisha
Nikiwa na Maumivu nikiwa nawe napona
Nikiwa na hasira nakimbilia kwako
Hisia zote mbaya kwangu ni wewe unaziondoa
Halafu eti wanasema sina Mpenzi...
Unajua mwaka 2005 wakati John anatoa wimbo wake unaitwa
Hao , mdogo wake Nickson alikuwa hafahamiki kwenye tasnia.
Waliokuwa wanamfahamu ni machalii wa mtaani kwao Daraj mbili, wakati huo...
Padri na Muuaji....
Padri amekaa katika ki-box cha kuungamisha, kanisani hakuna mtu. Mara muumini mmoja akaingia, akapiga magoti upande wa pili na kufanya ishara ya msalaba akaanza kuungama...
Habari wana JF... ukweli nimekuwa natafuta game ambalo linaitwa cubic game... ni la kupanga rangi..
Naombeni kujua hili game kwa tanzania hii au dar es salaam hii ntalipata wapi ??? Na kwa kiasi gani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.