JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Huu sasa usela nnya,washkaji wakija homiz mnaanza kuparamia friji kama na kukomba mazagazaga bila hata huruma,mnadelute tu majuice,bites na kichafua chafua mazingira,tuoneane huruma bwana,kila mtu...
10 Reactions
53 Replies
3K Views
Kaka yake Dr. Shika aitwaye Palanya, umri miaka 84, amesema Dr anakabiliwa na kosa la kudharau kwao, na hamna msamaha isipokuwa viboko 12. Dr. Shika kwa upande wake, kasema hana mpango wa kwenda...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu Fisi ni usafir bora na salama sana katika ulimwengu wa pili Fisi ni hodar wa kukwepesha ajari ya namna...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Jamii forum in wanachama zaidi ya milioni 1 kila mwanachama akinichangia tsh 1000 kesho nitaitwa bilionea tafadhalini ndugu zangu naomba mnitumie tsh1000 tu na kupitia mimi nitawanyanyua wengi...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
*Baba mmoja Juzi alimpaka Sumu Mke wake kwenye Matiti akiwa amelala.. Ili Mtoto akinyonya afe kwani alihisi sio wa kwake.. Akaenda zake kazini aliporudi akakuta mlinzi wa getini amekufa...
5 Reactions
4 Replies
2K Views
Nilikuwa kwa mganga wa jadi, baada ya matibabu akawa anadai malipo si ndo nikamuonyesha bima ya afya... Kilichotokea hata mi mwenyewe ckumbuki ila nimejikuta niko Lugalo juu ya bati sijui hata ni...
4 Reactions
3 Replies
929 Views
Huenda Labda ni Mwl Wangu wa Maarifa ya Jamii aliniinfluence katika Hili. Nilikuwa nawezea Kabisa kuigiza sauti na kutangaza Habari katika Maigizo yetu ya shule ya Msingi Kweli nilikuwa na Nyota...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Huwa naifikilia sana hiyo Avator yangu ya zero Iq,hilo jina limenifanya nijiwazie mengi sana kwa nini nimejiita hivyo. Eti ni Zero Iq na kwa nini ni zero Iq na sio ata Gu dume na kwa nini niitwe...
1 Reactions
1 Replies
678 Views
Hapa alikuwa anajiandaa kwenda kwenye mazoez ya soka na kina messi
0 Reactions
0 Replies
683 Views
Heshima kwako Dr, nafahamu wewe ni mwanachama hapa Jf, najua utaisoma hii post, kama kichwa kinavyojieleza tafadhali naomba unikopeshe kwa muda wa miaka 3 bila riba. Naamini itapendeza zaidi. Ni...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Hali zenu wanajf......natumai wote ni wazima...... Leo nataka nitoe dukuduku langu la siku nyingi......wenzetu wembamba,wanene,wafupi,warefu,weupe,weusi wanasifiwa mbona sisi size ya kati...
1 Reactions
6 Replies
598 Views
Uko sehemu umekaa na wenzako, mara anakuja mdogo wako, anakwambia mama kanituma nikwambie, ile sufuria ya uji atie maji au utailamba [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
*[emoji5][emoji5][emoji5]PALE UNAPOTAKA KUMTAMBULISHA GIRLFRIEND WAKO AMBAE SURA MBOVU LAKINI ANA MAKALIO MAKUBWA UTASIKIA"SIMAMA BASI SHEMEJI ZAKO...
9 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwang mm naona no 4 Inapendeza zaid saint ivuga [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
0 Reactions
33 Replies
2K Views
Vijiweni kwetu vya ghahawa, wadau wanadai kama Mwanaume hujawahi lengeshwa au tegeshewa mwanamke apate mimba, hata ya kusingiziwa, basi wewe hujakamilika, huna mvuto, huna uwezo kifedha...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Kiukweli nashukuru sana pua yangu huwa inanusa pesaa hata kama zimefichwa wapi. Huwa napata sana shida nikipita maeneo ya benki maana harufu ya pesaa za benki mnajua kama umeshawahi nusa pesaa...
0 Reactions
11 Replies
865 Views
Kichwa cha mada kimeeleweka kazi kwako
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Wadau Kama Mtu Uko Serious Na Hela, Naongeza Dau kwa sh 400,000 Nahitaji Galaxy S6 Mpya.....Kama Kuna mtu yupo tayari anicheki Inbox! au aweke oni Lake Hapa! #SERIOUS
0 Reactions
9 Replies
880 Views
Nini maoni yako!!
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom