JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wana jamvi habari zenu kwenye pta pita zangu nime liona sana hili neno Black friday, mara nyingi nime iona mwezi huu kwenye mitandao ya njee ya nchi ya tanzania waki tangaza sana ...kuna lecturer...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ushawahi kumpenda mtu lakini yeye hata hataki kuonekana mko pamoja? Yaani anakukwepakwepa tu! Huo ndivyo *UHUSIANO* wangu na Pesa ulivyo kwa sasa ...........☹☹ Awamu hii Mambo si Mambo lakini...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wana Jf Nakumbuka nikiwa shule ya msingi nilikuwa na tabia ya kuwapiga watoto wa walimu endapo huyo Mwalimu alinipiga lazima nimvizie mtoto wake nimpe ngumi ya nguvu. Nikitumwa...
6 Reactions
73 Replies
7K Views
Wakuu poleni na kazi, Nimeamua kuanza kuuza ukweli baada ya kuona bidhaa hii imekuwa adimu tena sana Kukwambia nusu SAA itagharimu sh 500 na kukueleza kwa mda wa SAA nzima itagharimu maisha...
0 Reactions
2 Replies
764 Views
Wakuu this is a story in dream sitaki mshikwe na maswali! Tumeanza uchumba toka 2010,wana JF special ambao walikuwa Marafiki wa wanandoa watapewa kadi,namashukuru sana sana mshenga wangu BAK...
8 Reactions
42 Replies
3K Views
Ni mke... uko nyumbani mchana mmoja.. ghafla anaingia mume wako akiwa anatweta jasho na kwa kumuangala vizuri unaona ana damu kwenye nguo na mwilini kiasi.. Anaingia ndani anakusimulia...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Kaka kasafiri,kaniambia niende nyumbani kwake nikakae na shemeji nimlinde mpaka atakaporudi hofu imenijaaa sijui ni staili aliyozoe na mme wake aaaah!!mi sielewi buana anashinda na kanga tu tena...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Hakuna aliyejua kwamba Sefi Sharrif Hamad ana midevu mingi wakati yuko serikalini. Alikuwa smart hana udevu hata mmoja. Lakini Seif alipofukuzwa CCM na kuwekwa gerezani, alipotoka huko akawa ni...
1 Reactions
46 Replies
6K Views
Naombeni kama kuna kuna mtu anafahamu namna ya kupata material ya ualimu DIPLOMA sekondari kwa sababu tunahangaika kutafuta madukani vitabu hamna na moduli kwa kawaida imeandukwa haiuzwi. Chuoni...
1 Reactions
4 Replies
835 Views
Jaman hamjambo humu ndani.kuna mtu anaitwa smile nimemis sana namtafuta yyte anaejua aliko na kama ana avatar nyingine pls nijulisheni. Wenu askari mtiifu Pure man
2 Reactions
7 Replies
892 Views
Robart Mugabe miaka 93, Grace Mugabe miaka 52. Inamaana wakati Mgabe anamiaka 41, Grace alikuwa na mwaka 1. My friend usijilaumu kwa kukaa single muda mrefu..tengeneza maisha yako kwanza, mke...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
RAFIKI: Vipi mbona leo huna uchangamfu. JAMAA: Wanawake bwana, mwanamke hata umpendeje atakugeuka tu. RAFIKI: Nini tena ndugu yangu? Mbona shemeji mtu fresh sana. JAMAA: Hata mimi nilikuwa...
0 Reactions
2 Replies
614 Views
Nmelazwa hosp hal imebadilika gfla tka jioni. Joto nurse kpma akashtuka akatoka mbio kwenda mwta doc naye amekja anakimbia sana limefka 44° C ila natetemeka ile mbaya. Imebadilika ghafla tu ile jioni.
4 Reactions
45 Replies
3K Views
Am still the President of Zimbabwe ! They can impeach me as Party Leader but not as President! I need to peacefully finish my remaining 1yr and hand over power to the next elected leader...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Kumekuwa Na Jf New Member na Wazamani Ambao yani we Ukianzisha New Thread Yeye Atakuja Na Kufanya Quoted Ya Uzi Wote Alafu Anajibu Mistari Miwili Tu mfano. "Sawa Mkuu Tumekuelewa" Sasa Kama...
11 Reactions
37 Replies
2K Views
Mzungu akamdharau sana Mhaya nakujiona anajua kila kitu duniani!, Akamwambia Mhaya waulizane maswali na Mhaya akishindwa anatoa sh.500 na endapo yeye atashindwa atatoa 100,000/=. Mzungu akauliza...
10 Reactions
9 Replies
3K Views
Maelezo katika mada hapo juu yanaeleweka kazi kwako.!!
1 Reactions
54 Replies
8K Views
Baraka za Mwenyezi Mungu Ziwe Pamoja Nanyi watu wa Mungu! Katika kusoma kwangu vitabu Vingi....nimekuja Kugundua kwamba Kutokuwa na Hisia ni Jambo kubwa Mno. Yaani Hupendi wala Huchukii, yaani u...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Wakuu mmeshindaje? Baada ya kutoka ile safari ya Dar sasa nmerudi mkoani arusha.....leo nikajisikia nimtongoze Marketing officer wetu hapa maana nimesikia yupo single kama miezi miwili baada ya...
4 Reactions
46 Replies
8K Views
Huyu dada kapeace nashauri bora afungiwe tu maana anachochea sana wanaume humu tupige puli. Wengine tulikuwa tushaanza kuacha kupiga puli kwa kujiweka mbali na vichochea vya puli kama vile...
3 Reactions
107 Replies
8K Views
Back
Top Bottom