JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mchaga baada ya kufa akaulizwa na malaika anayetoa roho: Mangi hapa ni njiapanda kulia ni Mbinguni na kushoto ni Jehanamu, Je unachagua kwenda wapi? MANGI: Bwashee, mi nabaki hapa hapa njiapanda...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Sipati picha mimi jamani. Wakikutana wanacheeeka mpaka wanagaragara. Esther anamwambia mumewe eti bebi wameniambia nifute picha zako huko inta sijui wanafikiria sijui sura yako[emoji16]?David...
3 Reactions
3 Replies
926 Views
Jamani namtafuta uyu dada toka alipohama arusha secondary mwaka 2002 ckuweza kumpata tena,though kwenye mitandao ya kijamii alijiita zulfa r ahmed bt hizo account ziko inactive.yeyote mwenye...
0 Reactions
4 Replies
677 Views
Atakaepata ujumbe huu amjulishe mwenzie, ufike kwenye ofisi zetu pale Kwamtogole, bei ni maelewano.
19 Reactions
22 Replies
2K Views
Nawaombeni Leo tufanye Karesearch kidogo lengo kuwatambua wenzetu wenye michango chanya Na kujenga Kwa kutaja jina 1 tu.Kwa unayehisi anakugoga moyo wako kwa michango yake Na kukusaidia kifikra...
9 Reactions
733 Replies
34K Views
[emoji312] [emoji313] [emoji322] [emoji322] [emoji323] [emoji324] [emoji324] [emoji485] [emoji488] [emoji488] [emoji512] [emoji512] [emoji512] [emoji512] [emoji512] [emoji512] [emoji512] Happy...
9 Reactions
134 Replies
12K Views
Kigumu chama cha makinikia! Wote tuitike KIGUMU Nimeambiwa Kama sio kuona kwamba sasa LIKES zinekuwa dili kiasi cha kutengenezewa saco na kikoba[emoji23] [emoji23] [emoji23]! Kwamba hata mtu...
1 Reactions
7 Replies
787 Views
maongezi ya simu ASUBUHI: baba DAB: hello...dogo? dogo (DAB): ndiyo, ni mimi baba. shikamoo! baba DAB: marahaba. sasa sikiza...nenda klauz katengeneze tatizo afu tuli-solve, umesikia? dogo (DAB)...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kiukwel kuna wakati nataman iwekwe new update ya Jf ili niiupdate yenye sehem yakubadili username haya majina yetu tunayotumia mana kuna baadhi ya watu huwa wanajikuta wanajua kuchambua username z...
8 Reactions
243 Replies
16K Views
Waungwana naomba kuuliza....kwa wale wanaofaham machine Za kutengenezea barabara Kama moter grader...sasa kuna Aina ya 140g Hii inanimate Mpaka milioni 120 kwa USA...Ila kwa sasa hivi china...
0 Reactions
4 Replies
642 Views
Ila ndiyo hivyo tena tutafanyaje hakuna aliyejuu ya sheria.
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamii forums inakula mda wangu mwingi sana Nashindwa kufanya mambo ya msingi kwa sababu ya jamii forums
1 Reactions
7 Replies
953 Views
1alina 2Aisha 3Anna 4 5
1 Reactions
48 Replies
7K Views
mchawi wa kisukuma akionyesha fisi mbele ya mchawi mwenzie mfipa anaechekelea......hawa ndio wanaoturudisha nyuma kimaendeleo.......ndio maana ufipani bado giza na sishangai waziri mkuu pinda kuwa...
1 Reactions
40 Replies
62K Views
ilikuwa nipo form four shule moja pale mjiini moshi, nikapataga tuition moja hivi mwishoni mwa 2012 basi kimasihara nikakutana na dada mmoja mwanafunzi mwenzangu...kimasihara tukaja kuwa wapenzi...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Kuna mchora katuni ataibuka na katuni yenye kuonesha jinsi harufu kali ya choo kilichohamishiwa Sebuleni ikiwakimbiza wapinzani kutoka Chama flani na kufuata hewa safi ya inayotengenezwa na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Hii ndoto hii, imekuja baada ya mimi kuwa nimejifungia chumbani kwangu na kuangalia TV kwenye channel isiyopatikana hapa Tanzania. ha ha ha ha... Channel hiyo imeripoti kuwa, Rais Museven wa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Tanzania ndio nchi pekee duniani mtoto anauliza akitaka kuwa Rubani afanyaje anaambiwa alale kwenye chandarua chenye dawa...
4 Reactions
1 Replies
1K Views
*NDIKI* Kwa wale waliozaliwa Dar es Salaam haswa miaka ya sitini na mwanzoni mwa miaka ya sabini wanalijua neno hili NDIKI. NDIKI, ni kitendo, pale ambapo watoto mnataka kucheza mpira, inabidi...
0 Reactions
7 Replies
915 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…