Huu sasa usela nnya,washkaji wakija homiz mnaanza kuparamia friji kama na kukomba mazagazaga bila hata huruma,mnadelute tu majuice,bites na kichafua chafua mazingira,tuoneane huruma bwana,kila mtu...
Kaka yake Dr. Shika aitwaye Palanya, umri miaka 84, amesema Dr anakabiliwa na kosa la kudharau kwao, na hamna msamaha isipokuwa viboko 12.
Dr. Shika kwa upande wake, kasema hana mpango wa kwenda...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu
Fisi ni usafir bora na salama sana katika ulimwengu wa pili
Fisi ni hodar wa kukwepesha ajari ya namna...
Jamii forum in wanachama zaidi ya milioni 1 kila mwanachama akinichangia tsh 1000 kesho nitaitwa bilionea tafadhalini ndugu zangu naomba mnitumie tsh1000 tu na kupitia mimi nitawanyanyua wengi...
*Baba mmoja Juzi alimpaka Sumu Mke wake kwenye Matiti akiwa amelala.. Ili Mtoto akinyonya afe kwani alihisi sio wa kwake.. Akaenda zake kazini aliporudi akakuta mlinzi wa getini amekufa...
Nilikuwa kwa mganga wa jadi, baada ya matibabu akawa anadai malipo si ndo nikamuonyesha bima ya afya... Kilichotokea hata mi mwenyewe ckumbuki ila nimejikuta niko Lugalo juu ya bati sijui hata ni...
Huenda Labda ni Mwl Wangu wa Maarifa ya Jamii aliniinfluence katika Hili.
Nilikuwa nawezea Kabisa kuigiza sauti na kutangaza Habari katika Maigizo yetu ya shule ya Msingi
Kweli nilikuwa na Nyota...
Huwa naifikilia sana hiyo Avator yangu ya zero Iq,hilo jina limenifanya nijiwazie mengi sana kwa nini nimejiita hivyo.
Eti ni Zero Iq na kwa nini ni zero Iq na sio ata Gu dume na kwa nini niitwe...
Heshima kwako Dr, nafahamu wewe ni mwanachama hapa Jf, najua utaisoma hii post, kama kichwa kinavyojieleza tafadhali naomba unikopeshe kwa muda wa miaka 3 bila riba.
Naamini itapendeza zaidi. Ni...
Hali zenu wanajf......natumai wote ni wazima......
Leo nataka nitoe dukuduku langu la siku nyingi......wenzetu wembamba,wanene,wafupi,warefu,weupe,weusi wanasifiwa mbona sisi size ya kati...
Uko sehemu umekaa na wenzako, mara anakuja mdogo wako, anakwambia mama kanituma nikwambie, ile sufuria ya uji atie maji au utailamba [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]...
Vijiweni kwetu vya ghahawa, wadau wanadai kama Mwanaume hujawahi lengeshwa au tegeshewa mwanamke apate mimba, hata ya kusingiziwa, basi wewe hujakamilika, huna mvuto, huna uwezo kifedha...
Kiukweli nashukuru sana pua yangu huwa inanusa pesaa hata kama zimefichwa wapi.
Huwa napata sana shida nikipita maeneo ya benki maana harufu ya pesaa za benki mnajua kama umeshawahi nusa pesaa...
Wadau Kama Mtu Uko Serious Na Hela, Naongeza Dau kwa sh 400,000 Nahitaji Galaxy S6 Mpya.....Kama Kuna mtu yupo tayari anicheki Inbox! au aweke oni Lake Hapa!
#SERIOUS