Jana jioni nikiwa nimetoka kwenye shughuli zangu,ghafla akanikimbilia msichana wa Kazi Wa jirani yangu kuomba msaada .Alikuja mbio analia mtoto katumbukia kwenye chamber ya kinyesi.Watoto wakati...
Wadau
Sabato Njema.
Leo nimeona niulize ndugu zetu wa Chadema swali,
Kwanini hadi sasa hamjampatia uanachama Dr Shika?
Ni Mwanaharakati anayekubalika na wengi ndani ya chama chenu. Pia anazo...
Ni Jambo la kawaida na Ambalo kila mmoja lishamtokea yaani kuwa na zile ndoto za utotoni.
Ni Ndoto ambazo zilikuwa zinabeba ambition Halisi ya Binadamu!
Kwa sababu tofauti za kifamilia, kijamii...
Habari za jioni wakuu,
Mimi ni kijana niliyeamua kukimbia nyumbani na kwenda kuanza maisha, tatizo langu kubwa nashindwa kupangilia ratiba ya chakula.
Naomba tujulishane hapa ratiba nzuri, ahsante.
Habari JF members.
Mimi ni mwanaume wa mkoani uliza maswali kuuhusu.
1.Umri
2.Relations
3.Education level
Na mazingira yanayotuzunguka binadamu.
Nikishindwa maswali wamikoani wengine watasaidia.
Mimi ni mrefu mweusi kiasi ,,nina kifua kiasi cha kuvutia ila sifanyagi mazoezi
Nina mwanya ,,macho yangu yamekaa kimapenzi mapenzi
Nina sauti nzito kiasi inavutia sana mademu
Kwa mawasiliano...
Kwa kweli Leo nimewaza sana baada ya Jana kulala mapema sana nikiwa na mke wangu na mtoto wangu wa miaka miwili pamoja na house girl.
Sisi wenye chumba na sebule tuna changa moto sana hasa wakati...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu
Tuache utan jaman mapenz ya fujo fujo yenye mikiki mikiki huwa ni matamu sana aisee
Jiulize wewe mpenz wako...
KIFO NI NINI?
Kifo ni pale Demu wako anapofanya fujo
club huku akiwatukana mabaunsa na kusema...
"BEBI WANGU HATA HAWAOGOPI"
hahahaha
"hapo ndo utapoelewa kwanini maji hayalowani"
habar zenu wana jf...hua nikiwaza life langu la shule hua nafurahi sana coz nilienjoy sana hasa O level
nilikua nasoma boardin flan hapa dsm bahat mbaya iko karbu na makazi ya watu pia kulikua na...
Habari wakuu,
Tafadhali naomba msaada kufahamishwa kama mtu atasoma CBG akiwa form 5&6 na akimaliza na kufanya vizuri atakuwa na uwezo wa kusomea kozi gani? ningependa kufahamu orodha ya kozi...
Wakuu kwa moyo mkunjufu kabisa kutokana na story kwamba huyu mzee hakuwa na ajira na wakati mwingine alilala bila Kula, nipo tayari kumpatia huyu mzee ajira Mara tu atakapo maliza maswala ya kesi...