Kailash Sing ambaye hivi sasa ana umri wa
miaka 65 hajawahi kuoga wala kukata
ndevu zake tangu alipooga kwa mara
mwisho kabla ya sherehe ya harusi ya
kumuoa mkewe, mwaka 1974.
Sing anaelezea...
Jamani watu na bahati zetu,mie nimeonekana na mwanachitchat mwenzangu,siku si nyingi tunataka kutangaza nia,ili ndoa isiwe na mapicha picha naomba mwenye pingamizi ajitokeze tafadhali,nimempata wa...
Wakuu hii kitu inanishangaza sana hivi ni kwanini wanawake wakiwa wanacheza mziki lazima wainame iname kwani style nyingine hamna ?
Huwa nashangaa sana ,hivi hii inasababishwa na nini?
1. Never walk without a document in your hands
People with documents in their hand look like hardworking employees heading for important meetings. People with nothing in their hands look like...
wanajamvini nimekua nikijiuliza kwa nini dada zetu huvaa vichupi na sidiria tu kwenye video za muziki na baadhi ya movie? Alafu wana kuwa wakicheza staili za chumbani!! Hebu tulijadili hili tafadhali.
Hivi humu JF kuna wapenzi wa Taarab kweli? Mimi napenda sana Taarab aisee. Napenda midundo yake. Napenda jinsi nyimbo zake zilivyo ndefu. Unasikiliza hadi unaridhika.
Napenda jinsi watunzi na...
Kumekuwa na matumizi mabaya ya R na L mfano amerara badala ya amelala .Kibaya zaidi hata humu Jf wanayatumia vibaya.Kuna gazeti moja leo limetoa makala yenye upungufu huo.Nini kifanyike?
EPISODE 04
Na mende msafi
Previously in JF talk garden
Nyani Ngabu: (huku akimgeukia mende msafi) hey you dude, hivi unajua bei ya shati uliloligusa. Bei ya hiyo shati ni sawasawa na kontena 9...
Wakuu naomba tupeana uzoefu hapa kwa sie tuliowahi kuibiwa simu,,
Ilikuaje ukaibiwa , ulijisikiaje na ulireact vipi hii itapelekea kujifunza namna ya kuepuka kuibiwa tena na namna ya kufanya...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Kuna huu utan kati ya wanaume wa dar na wamikoan
Huu utan ni wa kitambo sana na sijui hata kama utaisha...
Mh.Lazaro Nyalandu
Kwa wale wapika majungu mliokua mkitumiwa kueneza uzushi humu ndani eti kwamba mheshimiwa LAZARO NYALANDU hatakiwi kukanyaga marekani sikilizeni hii latest toka kwangu na...
Habari?
ase hii bar yangu pendwa naona kama wameifunga?
nimekuwa mkiwa kitaa,,nikitoka job ni ndani..vipi kuna spot nyingine nzuri?
na je wataifungua lini hii liquid?
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu
Mwanamke ni tabia wala sio wowowo au shep yake
Lakin tusiwe wanafiki sisi wanaume huanza na shep kwanza...
Agizo kwa Wanaume wa Dar toka kwa Wanaume wa Mikoani.
Kumekuwa na Tabia kila msiba unapotokea Dar mnajazana kuja kijijini kuzika...
+Mkifika hamchimbi kaburi.
+Hamumlilii marehemu
+Hamumswalii...