Nilimtembelea rafiki yangu mpendwa. Mkewe akatutengea wali kwenye sahani zilizojaa minyama tele.
Ajabu ni kwamba sahani za watoto wake zilikuwa zimejazwa wali na kachumbari tu.
Baada ya kula...
Wewe Cheza kareti ,Cheza judo kitandani ,Ruka samba soti kama bluce Lee,Nin'ginia kwenye kitanda kama jack chan, Binuka msamba kama Van Dame ,Kama hujatuliza akili na kujua nini mwanaume Anataka...
Kuna faida Nyingi za kuwa Single zifuatazo ni baadhi tu.
1:unalala kitanda chote mwenyewe unagalagala utakavyo.
2:unakula zako mwenyewe.
3:unajamba kwa uhuru ndani.
4:unanepa ukiamua kwa...
............sio kama na act /
No nipo really/
Japo msodoki mdogo ila nauwezo wa ku fail/
............................
Long time ago nilizimikaga na Sepetu wema/
Kisa skendo zaagazet moyo wangu...
1_Masikini ndo hugegeda sana(starehe ya kila mtu)
2_Masikini ndo hulala sana
3_maskini hutumia muda mwingi na familia
4_masikini huinjoi chakula anachokula mfano kuku wali mara moja kwa mwezi au...
Jamani nililete kwenu hili swala kuna majirani zangu hapa sijui niseme ni wambea waliokubuu au ni wivu umewajaa.
Nisifanye kitu tayari wanaanza kuleta umbea,
Nikipita na mtoto mkali ni lazima...
Kwa wale wadau wenzangu tuliowahi kubanwa na zipu za suruali baada ya kukojoa tuambiane maumivu yake uliyapataje mm nilitamani kutembea bila kufunga zipu maana c kwa maumivu yale ya Kibamia...
Jana sijalala, leo nakesha:
Pazia linapepea kama bendera wakati hali iko tulivu wala hakuna upepo kabisa. Naskia purukushani za popo na mbio za mapanya kwenye 'silingibodi", sio kawaida. Mapaka...
Heshima kwenu wakuu..
Mara nyingi huwa najiuliza hivi yule mtoto alikuwa anaigiza kwenye vibonzo vya Hakielimu yuko wapi siku hizi? Mtoto alikuwa na kipaji cha kuigiza sio cha nchi hii na kupitia...