Ilipofika mwisho wa juma wakati wa kuiandaa sabato ulipofika, habari ikaenea uyahudi yote kuwa yule mwanamke msamaria amemwacha mumewe, kijana tajiri wa huko madale.
Furaha ikasambaa uyahudi yote...
Maisha yangu yamo hatarini kuna mtu yupo juu ya paa amevaa sura ya ngedere..naogopa kutoka nje nikaripoti serikali ya mtaa.ni Mungu tu ananilinda hapa.
Pasipo na Shaka my wazima nyote...me mzima kabisa naendelea kurutubisha ujana..kuna mtu naona kanikumbuka humu
imenibidi niitafute paswed tena.... kitambo SNA siingii tena humu kuchangia but...
Na yule mke wa farisayo wa mawinguni akaondoka na kuacha fahari za mumewe na kwenda zake kuolewa na msamaria masikini.
Wakazi wa galilaya wakastaajabu jambo hilo huku wakijiuliza ' limekuwaje...
Wana harakati wa JF naamini mko poa na hii wikiendi.
Leo ni mwaka sasa nimetimiza tangu niingie rasmi katika mtandao huu,
Mwanzo nilianza kufahamu huu mtandao mwaka 2012 lakini nikawa bado...
Wajuzi wanadai mwili wetu una maji 90%, na ndiyo maana naamini kabisa Bw. Ray Kigosi yuko sawa kabisa alivyotuashauri na kusisitiza tuwe tunakunywa maji mengi yanasafisha mwili..!
Picha kKabla...
Nije moja kwa moja kwenye point ni hv kwa kuwa neno MKUU limezoeleka sana hapa Jf sasa unajikuta unatumia pia ktk kutongoza na kuonekana huna swaga kabisa "Nakupenda sana mkuu'[emoji3][emoji3]
vijana wa bongo kufika chuo na miaka 20 na zaidi wakati nchi zlizoendela wanafka wakiwa bado hawajafikisha huu umri hali mbaya zaidi ni wazazi wa enzi hizi kulea watoto katika mifumo ya kitaaluma...
LIKE ni nini hata itengenezewe uzi?
chanzo cha makapuku nacho kilikuwa ni malalamiko ya mtu kuibiwa likes sijui like zake zinapungua.
kuna uhusiano wowote wa nyumbaji kwa watu wanaofikiri kwa...
Yaaani!!!!...weee acha tuu.. siku ya leo nina furaha isiyo kifani. nimefurahi sana tena sanaaaaa... Dr Magufuli kuwa rais wetu wa awamu ya tano. kama una furaha km mimi mwaga hapa hisia zako plz
MZEMBE BAADA YA KUKUTANA NA REHEMA.
MZEMBE ; Mambo Rehema?
REHEMA ; Poa!!
MZEMBE ; Kuna kitu nataka nikuonyeshe!!
REHEMA ; Kitu gani?
MZEMBE ; Twende chumbani kwako.
(Wakaenda)
REHEMA...
Leo sijui nimeamkaje ila mnivumilie tu..
Huu ni Uzi maalum wa kusifia uzuri wa wanawake (kwa mwanaume na wanawake) na uzuri/u handsome au utanashati wa wanaume (KWA WANAWAKE TU)
Nikianza Mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.