waganga wa kienyeji huwa ni wajanja sana , wanatoa masharti magumu mara unyayo wa nani , mara nguo ya ndani sasa wamehamia kwenye kipengere kigumu mnooo,
jamaa kaenda anataka apatiwe dawa...
kama title inavyojieleza. Kufahamiana si vibaya, tujisocialize kidogo wana jf. Muliopo Dumila, Kilosa- Morogoro tufahamiane hapa. Karibuni Mtaa wa bombani karibu na police station
Kama mwanaume wa ukweli lazima gono,kaswende etc umeishakumbana navyo!sasa hapa najua kuna madogo humu wanakutana na misala mingi ya gono,kisonono,kaswende!
Niwajibu wetu kuwapa maujanja Madogo...
Wakuu habari!
Hivi Na ninyi wenzangu mna hii bahati nzuri au mbaya ya kupokea kadi za harusi,sendoff, birthday, ubatizo,graduations,whatsoever!
Hapa Nina kadi ka sita Na zote michango single sio...
Kupitia chanzo cha habari makini kabisa(Watu wa karibu) inasemekana timu hiyo ya rockstar hali sio shwari kabisa.Kuna mvurugano mkubwa mno tangu kipindi kile Baraka anatoka.
Inasemekana hivi sasa...
1. Atakuwa na simu yake mpo nyumbani dakika hiyo anakwambia umbip hajui kaiweka wapi.
Tuhurumie Baba
2. Ana Nguo zimejaa makabati mawili lakini hajui avae nini ukimwambia mtoke!
Baba, ni magumu...
Kuna vitu vingi ambavyo wanaume vinawakera ili mara nyingi hawawezi kuvisema kwa wake zao na wakisema wanajua vinaleta ugomvi tu. Kati ya hivyo vingi vitatu ni vikubwa. Naomba nitaje hiki cha tatu...
Wasalaamu!
Nina wachumba wanne tofauti Na nipo katika hatua za mwishoni kufunga ndoa January.
Sasa Nina wachumba wanne ambao wote waliomba niwaone nami nikawaahidi kuwaoa!
Lengo ninaogopa...
Uzi huu ni kwa wapenda inspirational na motivational videos pamoja na quotations.
Hapa tutaweka videos mbalimbali na quotations ambazo umekwisha kutana nazo ungependa kushare na...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Iv masela mnokula ugoro huwa hamuwaz nje ya box?
Kwanini mwanaume uanze kutafuna ugoro shida nini mazee?
Iv starehe...
Habari za mihangaiko wakuu.
Mimi naishi Ubungo kila siku napita njia ile ya Riverside to Makoka. Sasa haiwezi kupita siku tatu bila kuokota hela, mara nyingi ni 200 na 500. Kwa mfano leo asubuhi...
Nimefanya kautafiti wangu, nikagundua kuwa Wachaga wengi wanapenda kujichanganya na Wasukuma kuliko makabila mengine ya Tz, Wachaga wengi wameoa/wameolewa na Wasukuma na pia wanashirikiana nao...
Habar wakuu mi nakumbuka mwaka 2004.ilikua ni mwaka wangu wa kwanza kumiliki simu ya Nokia 3310 .nakumbuka ilikua siku moja uliita mlio wa simu nikapokea.hollow hallow kumbe ni ujumbe wa SMS...
Habari zilizoifikia Radio Mbao hapa mjini, baada ya wananchi wa Marekani kushinikiza uchunguzi huru kutoka nje, Serikali ya nchi hio imeridhia ombi hilo na kuiomba Tanzania kuisaidia kubaini...
Tarehe Kama ya Leo Tupac Shakur alipigwa risasi Las Vegas. Siku sita mbele alikufa September 13,1996. Ameacha utajiri wa mashairi yanayoishi hata sass. Ni wimbo gani toka kwa Tupac...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.