JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari ya jioni wapenzi! Baada ya kimya kirefu kidogo Na vile tumewakumbuka sana tu. Hapo kesho tunayofuraha kumuhost Mrembo Fulani matata.
4 Reactions
51 Replies
3K Views
jamani msema kweli mpenzi wa mungu kila mwanamke ninae mpata tayari wenzangu washapita sasa najitahidi kuwapata na wadogo zaidi naogopa kesi Mliowahi kuipata hebu nitupieni maujuzi
1 Reactions
73 Replies
5K Views
Muda si mrefu nilkuwa matembezi ya usiku mitaa ya kirumba mwanza bar moja inaitwa shooters huku nikisukumia pilsner king za 1,500(alcohol 7.6) ili kichwa kichangamke haraka na kusahau kero za...
9 Reactions
31 Replies
5K Views
Ukichepuka angalau Mara Moja kwa mwezi ni sawa na Siku 12 tu kati ya 365 za mwaka mzima. Hapo uaminifu wako ni 97% usijali hiyo bado ni A+...
0 Reactions
5 Replies
993 Views
Hellow Hope mpo okay......nauliza hivi mini statement ya mpesa huwa ikitumwa namba za watu waliokutumia na kutuma hela huwa zinaonekana??? Nimetumiwa moja hapa haina hata namba za watu na mimi...
0 Reactions
8 Replies
724 Views
Japo sikuwa na keki ila nimejisikia Faraja tu kwa kuni wish heri kwenye siku yangu ya kuzaliwa ila nimefunga tu Sunna kwa mujibu wa Dini yangu asanteni Wapendwa, ila Jf waweke hata huduma ya...
0 Reactions
6 Replies
757 Views
Mimi nana hii "Mkuu" inapendeza sana kuitumia kwa wanaume huku lakini kuitumia kwa wanawake inakua haina maana kabisa nafikiri kuanzi leo wanajamvi wanawake tuwaite "MADAME" Au nyie mnaonaje...
2 Reactions
58 Replies
3K Views
Jamani kuna dawa nimeigundua inatibu nguvu za kiume na kukuza uume. Hivyo nahitaji tangazo ambalo litatumwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii liwe la kuvutia Shindano hili litaendeshwa mpaka...
3 Reactions
7 Replies
850 Views
Aman iwe nanyi wapendwa Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Nimekuwa kwenye mahusiano na wasichana wa aina nyingi yaan wazur wa sura na wabaya wa sura. Lakin nilichogundua ni kwamba...
7 Reactions
64 Replies
8K Views
Wakuu naomba kujua kama mwanajukwaa mwenzetu kama yupo mana kimya kingi isijekuwa nissan nyeupe ishamfuatilia kimya kimya. Nawasilisha.
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Mara ya mwisho nakumbuka ilikuwa mwaka jana wadau walianzisha thread ya kutoa tuzo.na tuliwapata wana jf bora kwa kila category..kuna ongezeko la wana jf wengi tu wanaofanya vizuri maingizo mapya...
2 Reactions
7 Replies
785 Views
Igwee jukwaa peñdwa la chit-chat. Kila kidume chaguwa type/size ila usimkwaze mwenzio.UZii huu ni kwa wanamume tu lakini kuonyesha hatujawatenda wanawake mnaruhusiwa kusifia na kuponda na hata...
0 Reactions
47 Replies
3K Views
Hivi Bongo Hakuna kampuni za x au wacheza x, maana Maisha yanakaba had penat. Nigeria wanayo leaknaija.com, Na baadhi ya nchi za Africa zipo KAMPUNI za x. Nashindwa kuzi-link kutokana na sheria...
1 Reactions
9 Replies
23K Views
Kwa hili naweka siasa pembeni huyu naibu waziri wa katiba na sheria mh! Angela Kairuki ni matumaini yangu atakuwa anandoa yake na familia. Ila ingelikuwa sio hivyo ningetangaza nia kwa njia na...
7 Reactions
278 Replies
72K Views
Smooth roads never make good drivers. Calm seas never make good sailors. Clear skies never make good pilots and life without problems never make a strong and good person. When you have tough...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
MTUNZI :- HARUNA MAPUNDA Aisha alitoka bafuni huku akijitikisa kwa baridi. Akifuta nywele zake kwa taulo. Huku akitikisa makalio kuelekea chumbani. Alifika ndani na kujitupa kitandani. Alijivuta...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Mambo-ya-Pesa *Kuna dem mmoja kaja home kaniomba pesa nikamwambia sina cash labda bank au M pesa akanambia hapo barabarani kuna wakala twende tukatoe, wakati tunatoka nikamtext mshikaji wangu...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
huu uzi niliu-upload Jamii Intelligence, lakini nikapata kimeseji ambacho hata sikukielewa. Anyway, swali langu ni dogo tu. nataka kujua. kwa nini katika sentensi ama matamshi mengi, herufi 'e'...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Nimekuwa nikisoma thread nyingi za watu pamoja na zakwangu mpaka nafikia mahali nacheka peke yangu Pengine najiuliza nilikuwa nawazanini!!kuandika thread kama hii!!Uanakuta mtu kaweka thread...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
I was abroad guys so very soon,we will resume our chitchat interviews Be blessed!
5 Reactions
179 Replies
6K Views
Back
Top Bottom