Jana usiku nimeota ndoto ya ajabu sana. Yaani nimeota nikashtuka nikanywa maji ,nikarudi kulala nikaiota tena
Eti nimemuota RRONDO ameoa. Kaja kwangu kunionesha picha za mkewe. Dada mweusi ana...
Jirani aliibiwa simu miezi miwili nyuma nikiwa kazini, akasema wote waliokuwepo muda huo waende kwa mganga wa kienyeji mwenye Tv asilia ili wamuone mwizi wa simu. Huko walinyweshwa maji ya dawa...
Ivi hii style ya kumwagina maji mara matope , mara bia , mara soda , wakati wa kushereheka siku ya B.day/kuzaliwa ni nini maana yake na haswa utamaduni huu tumerithi kutoka wapi ? (Ulimbukeni wa...
Ndugu WanaCC.
Kwanza kabisa habari zenu...!!
Cc wanaJf wote,
Itifaki imezingatiwa.
Pili, kwa kuwa mimi napenda sana kujifunza kupitia watu, sasa naomba niulize swali lolote juu yangu nami...
Mabingwa wa maloveeee wanautaalam wa maneno ambayo huwa yanatia chachu ya upendo katika mahusiano na kuongeza ugwadu kwenye mapenzi ebu ongezea hapa neno/ maneno lako ambalo ni maarufu kwako...
Job Interview. MP
OFFICER:- What is your name?
Monday:- M.P. sir
OFFICER:- In full please
Monday:- Monday Paul
OFFICER:- Your father's name?
Monday:- M.P. sir
OFFICER:- What does that...
Habarini wadau na wapendwa wote
wakati sio ukuta, Majira na nyakati Mungu ndiye hupanga nasi leo tunamshukuru Mungu kwa kumbukumbu ya kuzaliwa babuuu Mtambuzi ninamtakia kheri na fanaka na pia...
IGP Simon Sirro akabidhiwa ramani ya nyumba mpya za Polisi zitakazojengwa jijini Arusha.
Swahili Times on Twitter
Hii Ina maana gani .... Sjaelewa hapa ......
Jana nimepita njia ya mkato makaburini warembo wawili wakawa wananikimbilia wanatetemeka Eti tunaogopa kupita peke yetu na mm Nikawajibu hata mm nilivyokuwa hai nilikuwa naogopa sana . Wakazimia...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Ebhana leo katika pita pita asubuh hii si nikaona niingie dukan kununa vocha, nikanunua vocha za kama elf hamsin ili...
*Unamualika binti lunch alafu anakuja kwa maringo, etii ooh bby ata sitakula wakat natoka home nimekula kuku choma na chips........ww kwa ugentlemen wako unamnunulia whiskey ya jack daniels ya...
*Jana nlienda kuazima pasi kwenye room ya jiran yangu ili ninyooshe nguo zangu, jamaa wakasema nikanyooshe kule kule pasi yao haitok nje! nikaenda kunyoosha!*
*Leo amekuja mmoja wao kuazima mopa...
Ninawasalimu wanabodi wote, pia niwape pole kwa heka heka za kuhakikisha mnadumisha ustawi wa familia zenu na taifa kwa ujumla,
Najitokeza kumtafuta member wa JF aitwae mangatara nina shida nae...
Kisa na Mkasa na Salim Kikeke
Media Player
Cheza katika media player
Osama kusakwa
Osama Bin Laden
Mzamiaji mmoja wa Marekani, anajiandaa kwenda katika bahari ya Uarabuni, na kupiga mbizi...
Igweee wana chit-chat.Namshukuru Mungu kwa kunipa siku nyingine tena ya kusahihisha makosa yangu ya jana kuna wengi walitamani kufika Leo lakini Mungu amerudisha pumzi yake.
Ni hivi mwezi wa 6...
Kwa kawaida, kauli za viongozi wa juu wakati mwingine huibua mzaha, kejeli na kuwa maarufu kutokana na kuvumishwa na media mbalimbali.
Ni wazi kuwa kauli ya Rais na watu wengne maarufu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.