JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Sijakuelewa, we ni staff wa clouds ama mtetezi wa haki za binadamu mahali pa kazi. Pili umesema karibuni saaana, unatukaribisha clouds au wapi?
3 Reactions
16 Replies
12K Views
Katika nijuze ya leo, Wana JF ndio wameorodheshwa kuwa taifa korofi zaidi Duniani na mtandao wa Forbes! Hili taifa, liimeliacha kwa mbaali taifa la North Korea ambalo limeshika nafasi ya pili...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu watanzania na wana member wezangu wa Jf ... Habari zenu viongozi wangu..... Natumai ni wazima wa Afya ...Eeh bwana wacha niende moja kwa moja kwenye point ya misingi iliyonifanya mimi...
6 Reactions
47 Replies
3K Views
Habari wakuu, Katika pitapita zangu mitaa ya Mikocheni nikiwa naenda Chuo(ndio mimi mwanafunzi ila msinisakame) nimekutana na wazee wanaong'ang'ania ujana. Hawa ni wazee wa namna hii:- 1. Babu...
6 Reactions
80 Replies
6K Views
Kwa Kitendo cha kutudhalilisha Sisi wana Kanda ya Ziwa wote na hasa hasa Sisi Wajomba na Shangazi zenu ( Watani ) Watu wa Mkoa wa Mara ( yakijumuishwa ) Makabila yote yapatikanayo katika huo Mkoa...
18 Reactions
127 Replies
14K Views
Simulizi ya kusikitisha,Ali juma alivyoshambuliwa na watu wasiojulikana
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Niko bega to bega na wewe lazima nikutumie hela ya bia mwambie nimemtukana sana lakini lazima nimlipie 10000 ya balimi mimi ndo mimi mtaani kwetu nawakilisha peke yangu mtaani.
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu nimeona mende wawili wakifanya mapenzi. Nilitaka kuwamwagia dawa ya kuwaua ila nikawaza tena. Pengine wa kiume ashamfukuzia wa kike kwa miaka mingi na hajawahi kukubaliwa. Pengine huyu wa...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Huu uzi ni special kwa men tu hivyo kama wewe ni girl pita mbali kwa speen ya jet. Girls unaruhusiwa kusoma lakini si kuchangia. Baada ya kutoa utangulizi.Mambo vipi wanaume wenzangu.Husika...
0 Reactions
44 Replies
3K Views
  • Poll Poll
Kabla huu mwaka haujaisha lazima tumpate mwanachama bora wa mwaka 2017...Kwasasa hapa JF wajumbe maarufu ni hawa wanne...hivyo tupige kura kumpata Member of the Year! > The bold > mshana jr >...
1 Reactions
82 Replies
4K Views
Dada zetu tunashida wote humu ndani, tunataniana humu ndani sasa tusipowatongoza nyie tutamtongoza nani? Mnataka tushinde humu ila tutongoze FB na badoo? Nyie mtatongozwa na nani sasa si vizuri...
28 Reactions
685 Replies
28K Views
Siku zinakwenda hazigandi. Naona kama vile ni juzi juzi 1/8/2007 nilipojiunga na Mtandao wa JamboForums ambao kwa sasa ni Jamiiforums. Shukrani za pekee zimuendee Nova Makunga ndie...
28 Reactions
72 Replies
5K Views
Whatsup Kiranga . i heard some rumours you dont wanna JF anymore, c'mon hitta if is real then dont do that...
1 Reactions
2 Replies
533 Views
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Aman iwe nanyi wapendwa Husika na kichwa cha habar hapo juu Sio kwamba nina beef na wanaume wa dar hapana sina bifu nao kabisa lakin sema hawa jamaa wanatuabisha sana wanaume wa mikoan Kwa...
1 Reactions
58 Replies
3K Views
Ndio, Hamuniwezi - Kuna watu wako tayari kuhakikisha napigwa BAN mara kwa mara na wametenga fungu kwa ajili ya kutembeza mlungula. Nasema nitadeal nao Nawasihi kuachana na mpango huo haraka
2 Reactions
101 Replies
5K Views
Wakuu habari za asubuhi hoping you all well, uzi huu tutashare baadhi ya matukio yaliyotutokea kwa mwaka 2017 ,mi binafsi yapo mengi mfano dem wangu nliekaa nae miaka mitano akanisaliti karibia na...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Mimi muosha rungu aka DJ sepetu nataraji kuachana Na ukapera sugu. Mwezi January Nina mpango Wa kufunga pingu za maisha kwa kumuoa binti Mrembo Wa kitutsi. Najaribu kuona njia bora ya kupata...
3 Reactions
51 Replies
3K Views
Habari zenu wana jf, kwakweli leo nimeamua kuvunja ukimya, tangu nianze kutumia hii forum, nimegundua kitu kimoja kuwa watu wengi(almost 98%) wanatumia picha na Id fake. Lakini hilo halikunizuia...
3 Reactions
53 Replies
3K Views
1 Reactions
3 Replies
969 Views
Back
Top Bottom