Namaste! Ni matumaini yangu jumapili inaendelea vizuri kwa wewe uliopo nyumbani na familia,wewe unaotumia vibaya internet ya ofisini kwa kuingia Jf,wewe ambae bundle yako ndo inaishia na hata wewe...
wasalaam wana jf...! miongoni mwa vitu vinavyonivutia hapa jf ni ´avators´! nimekuwa nikitumia muda mrefu kuangalia ávator´ ya AFRODENZI...kwa kweli anaonekana kuwa mrembo haswa, ana ´lips´ nzuri...
WanaJF nipeni majibu wapendwa. Siku zote wanaume ni wabishi kwa makonda.lakini juzi nilipanda gari fulani konda alikuwa msichana.Basi wanaume walikuwa watiifu kama vile wanapokea sakramenti kwa...
Wana jukwaa habari za saa hizi. Bila kupoteza muda jana mishale ya saa tisa alasiri nilikuwa maeneo ya Uchumi supermarket pale nyerere road kaja Jamaa simju anijui "namnukuu" Kaka naomba nikupe...
naughty by nature-opp,feel me flow etc
kriss kross-jump jump
mc hammer-have you seen her,cant touch this etc
house of pain-jump around
digital underground-i get around
coolio gangsta's paradise...
Nakumbuka nilipigwa ban hata bila kujua kosa langu,huyo mod aliyenipiga ban nahisi siku hiyo alikuwa na stress zake binafsi
Vipi wazee wenzangu kuna ambaye hajawahi kukutana na rungu la huyo mod...
*Ukiwa Na Demmu Geto Mara Paap Akavua Chupi Na Jeans Kwa Pamoja Ndgu Yang Tumia Condom*[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Waziri wa afya..[emoji124][emoji124]
Sent using Jamii Forums mobile app
Salam kweni wakuu,
Nipo nawaza jina la kumpa mwanangu bado nipo alijojo ni jina gani limfae.
Hadi sasa majina yanayonijia ni haya;
1.Magufuli
2.Lissu
3.Trump
4.Durtete
5.Kim Jong un.
6.Makonda...
WanaJF mrevedi?
Msaada tafadhali! kuna issue inanitatiza kidogo hapa kwenye kakibarua kangu (mama ntilie).
Kuna dada alipata mafunzo yake, akafauli vizuri sana, lakini bahati mbaya kabla vyeti...
Kijana Nguvu Ya Mabadiliko
Ukiwa kijana unatakiwa ubebe jukumu la kuikomboa jamii yako kwa kutumia Nguvu, Uelewa na Elimu uliyoipata. Haina maana kuitwa msomi unayekula na kulala vizuri mijini...
?45% wanawake, wasichana wamepata kazi kwa ngono?
Wednesday, 16 March 2011 20:36
Nora Damian
ZAIDI ya asilimia 45 ya wanawake na wasichana walioajiriwa kwenye ofisi mbalimbali nchini...
wengine wanatoa flowers, wengine wanatoa out, wengine wanaleta zawadi mbalimbali na lots of sms and fun messages
Lakini wengi tukishaingia kwenye mapenzi, tunaishia kuishi kama walimu au...