Habari mkuu kama wewe ni binti au kijana umri tajwa hapo juu na hujawahi ku **date** pitia hapa japo tufahamiane .
Na pia kama kuna any hustler project hapa jijini za...
Jamani nachukia sana watu wanapopata bahati za pesa Mara kwa kubeti Mara tatu mzuka mara biko wakati cc tunapigika huku kitaa kwa kupambana na hali zetu hzi pesa huwa zinakosea njia jamani au vp...
Kuna mama alikua katoka kupakua chakula ili ale..ghafla akasikia mtu anabisha hodi
basi harakaharaka akaficha chakula chini ya kochi akaenda kufungua mlango..
mama:"Karibu shoga yangu"..
mgeni...
Habari zenu naJF!
Niende kwenye mada.
Leo asubuhi wakati nipo kwenye mihangaiko yangu ya kimaisha kuna jamaa mmoja nimemsikia anaongea jambo. Nikasema nitakuja kuuliza jamvini maana humu wajuvi...
Huyu dada mrembo aitwaye Naisujaki Lekangai alikaribisha watu wa kumpa kampani mwaka mpya wa 2017.Vidume tulijikoku kupata hiyo chansi ila ni mmoja tu aliyefanikiwa.Sasa dada safari hii...
Habari nzuri kwa wapenzi wa Arsenal ni kuwa dirisha la usajiri limefungwa muda huko England muda huu na Wenger amefanikiwa kufanya usajiri wa namba yake ya simu
Salamu zangu ni kwa ;
1: Mshana Jr
2:Miss Natafuta
3:Chinembe
Ujumbe: wakae mbali sana na watu wasiojulikana:
Tuma Salamu zako Kwa watu watatu wa humu Jf.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi huu ni kwa ajili ya kupeana habari zihusuzo watu wasiojulikana pamoja na matukio yasiyojulikana ili tu kila mmoja wetu awe na uelewa na aweze kuchukua tahadhari zaidi zitakazomsaidia kuwa...
Sory wadau mimi nataka nijue tu kama umeandika thread yako na mods kwa sababu kadhaa wakaufuta au wakauweka pending kwa sababu zao kadhaa.wewe mhusika uliyeandika utajuaje? Anaejua plz anielekeze...
Tumekuwa tukisikia na kuona miujiza mbalimbali ambayo imekuwa ikifanywa na viongozi wa dini na watu wengine wenye uwezo wa kufanya hivyo..
Zimevuma habari za watu fulani kuwaponya wagonjwa...
Assalaamu alaykum wanajamii hali zenu????mm niko poa[emoji3] [emoji3] [emoji3]......naomba kuuliza Eti
1.kuwa na mke mfupi mume awe mrefu ndo raha au
2.Kuwa na mke mrefu mume awe mfupi ndo raha...
Mwanafunzi huyu alipata sifuri licha ya kwamba majibu yake yote yalikuwa sahihi kwahiyo usilazimishe kila mtu aamini unachokiamini inawezekana yupo sahihi.
SWALI: Mkwawa alikufa katika vita...
Salute viranja,
Niingie moja kwa moja kwenye mada, nilituma maombi ya kazi katika kampuni nyingi tu hapa DSM, lakini sikujibiwa.
Kuna kampuni moja ivi nilituma zaidi ya mara tatu, bila feedback...
Maramutse
Kamwene
Mwadela
Mwalaye
Ugonile
Uliyota
Sopai
Shimboni
Nitwa DJ sepetu kuanzia majira ya alasiri tutakuwa na Mrembo matata kabisa wa jf .
Atakuwa hapa live katika baraza show ya muosha...
Wakuu embu niambieni nifanyeje ili nipate views kama 50k kwenye uzi mmoja ndani ya masaa 48?
Kuna taasisi moja isiyo ya kiserikali inataka nipeleke uzi niliowahi kuuandika humu jamvini, na kupata...