JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kwa anae jua nna cmu yang Vodafone 7min ilkua ina smubua kweny camera nika jarbu ku i reboot ss nangaa ina sumbu inatak ni andike email nimeiandka lakn imekataa kufnguka badala yke ina niambie...
0 Reactions
5 Replies
618 Views
Soma kwa Makini UMETOKA KAZINI UMEKUTA PANYA SITA NDANI Panya 1: Anakula vyeti vyako vya degree ya pili Panya 2: Anakula cheti chako cha ndoa Panya 3: Anakula passport yako na safari...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Mwanadamu ameumwa na roho ya kupenda. Upendo ni amri kuu kuliko zote kama unampenda mtu wa Humu JF mwambie ajue kuwa anapendwa kupendwa raha jamani.
31 Reactions
2K Replies
96K Views
Mfungwa mmoja alifanikiwa kutoroka jela baada ya miaka kumi na mbili... akapenyapenya mitaani hadi akafika nyumbani. Mkewe akafungua mlango...kitu cha kwanza kumuuliza.. "kwenye TV wametangaza...
12 Reactions
21 Replies
3K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Shikamooni wakubwa Mambo zenu Saa za jioni kuanzia sasa na saa kumi na moja tunawajulisha kuwa Tutakuwa na Mrembo hapo juu katika show baraza yetu Leo! Kukumbusha tu lengo hasa la baraza hii...
3 Reactions
930 Replies
31K Views
Sasa tuweke Court Room Drama Umesema umetaifisha Almasi kwa sababu Mwadui walitangaza thamani pungufu: Serikali: ndio Soma hii karatasi: Serikali: nimesoma Imeandikwa na nani...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba wale wote tuliowahi kukutana na 2pac shakuru Cuba Tukutane hapa tujadiri mawili matatu Naomba tukutane hapa wakuuu mm ni rafki yake chid benz
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habarini bandugu Moja kwa moja kwenye mada.Nilikutana na binti flan hivi mrembo kwel nikahangaika ninavyojua nikampata akawa wangu,sasa siku ya kwanza niko nae kwa bed akawa anazuga ye si mjuzi wa...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Wana Ndugu, Tunaomba Mphamvu atueleze Lengo lake la kuweka avatar ya majeruhi wa ajali aliye jaa majeraha Kichwani. Wengine tuna moyo dhaifu sana. Kama hata ikiwezekana tunaomba MODS musaidie...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama utafiti unavyosema kwenye kila wanawake watatu ..wawili wana mtumbo..a.k.a kiroba..ama kifriji. Kitumbo ama cha bia ama chips ama Kitimoto. Sasa wale wenye matumbo flat screen ambao...
21 Reactions
173 Replies
14K Views
Hivi ikitokea siku watanzania mkaambiwa kuwa Mange kimambe naye ni Usalama wa Taifa. Alitumwa awachunguze wapinzani itakuwaje? [emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
5 Reactions
15 Replies
3K Views
zifa za mwanaume bora n hiz.. 1.hanywi pombe 2. Havuti sigara 3. Mkweli 4. Mchamungu 5. Hachepuki 6. Handsome 7. Mpole 8. Ana hela 9. Anajua mapenzi 10. HAYUPO DUNIANI Sisi wa Duniani...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwanza natuma salamu kwa watu wasiojulikana waliopo TUKI, CHAWAKAMA, BAKITA na BASATA. Kwa kifupi niseme tu...kiswahili kitukuzwe. Twende kwenye mada, thread hii ni maalumu kwetu sote naanza na...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakuu samahan, kuna jambo linanitatza hvyo nmeona nililete umu... Nini tofaut ya haya maneno ... "FREE CORRUPTION ZONE" v/s "HATUPOKEI RUSHWA HAPA" unapoyakuta yameandikwa ktk vibao...
0 Reactions
4 Replies
898 Views
Habari wanabodi. Nakumbuka nikiwa mdogo nilipenda filamu za action. Unakuta Staring kawindwa na majambazi, wanampata, wanammiminia risasi zakutosha, wanalipua gari lake. Baada ya muda unamwona...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Asalaamu alekhum! Tumsifu yesu kristo Bwana asifiwe Mambo Hivi punde tutakuwa Na Mrembo Wa jf katika baraza la mahojiano Welcome all DJ sepetu
2 Reactions
797 Replies
29K Views
Habari za mchana wadau, Kwa muda sasa nlikua sijawa na uhakika na makato ya Nmb kwenda tigopesa, lakini leo nimejionea maajabu. Nilikuwa na shilingi elfu tano na shilingi kadhaa kwenye akaunti...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Sina stress
0 Reactions
26 Replies
2K Views
  • Closed
Nawaza tu.[emoji63] The Professional
1 Reactions
109 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…