Nafasi za kazi (watu 10)
1. Mtu aliyetulikana
Mshahara kwa mwezi ni milioni 10....!!!!
Kama upo Tayari piga namba zisizojulikana apo Chini.
By mtu asiyejulikana
Nimechungulia page ya marehem IvanDon, cha kushangaza kuna mtu anaitumia amepost picha ....wabongo wavamia page wamwaga mapovu!
Swali; je, ni kweli yawezekana ule uvumi kuwa hajafa ikawa ni kweli...
Msemo huu maarufu wa jf umekuwa chachu ya maisha yangu kubadilika,tangu nikutane nao ingawa kwa 100% siyo msemo rafiki sana,nimefanikiwa kupambana na mambo mengi ninayopitia kila siku kwa amani...
Hivi kwanini, wale wadau wa kunywa chai na chapati, wakifika kwenye mgahawa au kwa mama ntilie, mara nyingi huagiza chai na chapati mbili?
Yaani ni mara chache kusikia mtu akisema nipe chai na...
Jamani kuoa raha, kuolewa ni furahaa harusi imeshatimiaaa........
Congrats nyingi kwa ndugu yangu nanyupu kwa maana kwa taarifa za kiintelejensia nilizozipata ni kwamba umefanikiwa kupenya ngome...
Ndugu wanaJF.
Siku ya leo inakaribia kuisha nikiwa sina amani kabisa. Usiku wa kuamkia leo nimeota watu wasiojulikana wamefika nyumbani kwangu. lakini hawakushuka kwenye gari, wakageuza...
Ilikuwa ndo first time
Lakini kwa sasa baada ya kuwaangalia wengine kama
Mc pilipili
Dogo pepe
Erick omond
Michael blackson
Na wengine nimeongeza ujuzi najiona nimeiva wakuu nahitaji support
Sent...
Wapenzi mambo!
Katika maisha yangu niliwahi kupendwa Na dada mmoja pale makao makuu ya nchi yetu! Dodoma!
Nikiwa mwanafunzi Wa Udom
Alikuwa ananipa kila kitu kuanzia
Chakula mavaz matibabu...
Umofia kwenu!!!
Tukiwa kwenye wimbi zito la TL na huku tukiendelea kuchangia pesa za matibabu nimekaa nawaza hapa hivi kwann mtu akikubusu lazima utafumba macho?? au hata ukitumiwa sms ya...
Asalaam alekhum!
Tumsifu yesu kristo!
Bwana asifiwe!
Mambo
Tuna majina yetu ya asili tuliyopewa Na wazazi au walezi wetu tunayapenda Na kuyathamini
Ila kwa wanawake wengi wao wakisha olewa...
Wassalam wakuu,
Hivi Tanzania hatuwezi kutibia watu kwa ustadi mzuri kabisa?
Unashangaa kila mwanasiasa ama mtu mwenye cheo kikubwa unaskia anaenda nje ya nchi kwa matibabu zaidi.
Mfano mzuri...
Habari za jioni wanabodi.
Poleni kwa stress za makanikia party 2.
Kama kawaida yangu huwa sipendi kuwachosha kwa porojo nyingi.
Nimekuja kwenu mnitoe tongotongo mwenzenu.
Katika izi siku mbili...
Good evening! Ladies and gentlemen!
Katika kuikalibisha siku ya kazi kesho tunaye malkia swahiba92 kikaangoni!
Wageni wetu wengi hupatikani weekends zaidi
Tunaomba ushirikiano Wa utulivu...
Hili kabila, linateka, linaua, linajeruhi n.k n.k.
Kila siku Polisi wamekuwa wakiomba raia ushirikiano kuwataja hao watu wasiojulikana.
Nyie watu " MSIOJULIKANA" mnataka nini nchini kwetu...