Ni hakika ya kuwa kila member aliyemfuatiliaji wa JF hasa jukwaa la hoja mchanganyiko au siasa atakuwa anamjua vilivyo huyu member MZEE mwanakijiji kupitia Mada zake.
Hadi mwishoni mwa 2015...
Ninamachungu mno na haya maisha haipiti wiki moja anakuja MTU nakunambia "Ohh mkeo tulimwona akiingia Nyumba ya flani" Mara naskia mkeo siku hizi anatembea na Fulani.
JAMAA ILE DAWA YA KUMWEKEA...
Nilialikwa kwenye harusi. Nilpofika Hotelini nilikuta milango miwili. Mlango mmoja uliandikwa "NDUGU WA MUME" na nwingine uliandikwa "NDUGU WA MKE".
Nili ingia ule ulio andikwa ndugu wa mume...
Habari zenu wana chit-chat.Jana nilibandika bandiko langu la kuomba ushauri kuhusu my first date na binti niliyemfukuzia almost 2 years.Nashukuru wadau mlinipa mbini na ushauri mbalmbali kwenye...
Habari..
Nilichojifunza baada ya BAN...
1..INAUMIZA
2..PINDI UKIPINGWA BAN AKILI YA KUANDIKA THREAD MPYABINAKUJA...
3..UNA KASIRIKA UKIONA MTU ANA POST PUMBA NA ANAPETA...
4..PM ZINAPOTEA...
Habari wakuu, hivi ikitokea unamkopesha mwanasheria mahiri kama Lissu na akagoma kukulipa unaweza kuhangaika kumfungulia kesi ya madai au ukubali tu yaishe?
Salaam wakuu,
Za weekend?? Kwa mkuu aliyeko around maeneo haya tuonane tujuliane hali. Nipo century cinema theatre 3 naangalia 'The Son Of Bigfoot'
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi msiba Wa mume au mke huwa unaonekana kugusa kuliko Wa ndugu Wa karibu kama wazazi nk..?(sorry wote ambao they lost there love ones)
Kuna siri gani katika bondi hii
carnte himself
Nimekumbuka afande msakati na Afande Sijali kama upo lete maneno nani unamkumbuka na mmepotezana ila mimi wengi nawaona mjini .
Kuna jamaa alikuwa anaitwa Dismas Assey sijui huyu jamaa yuko wapi...
Unajua nilikuwa napokea pm kibao za kuunga watu jukwaa la wakubwa?
Ile id ya Invisible User ilikuwa inafananishwa na yule baba mwenye nyumba...
Sasa wameamua kunibadili jina sasa ni Ubongo...
Tuna mazoea kila sikukuu kupelekeana chakula .ikiwa ya upande wa dini yangu basi lazima hotpot ziende kwa jirani wa kaskazini na nyingine kusini.sasa Leo nimesubiria kwa hamu nikajua lazima...
Kuna habari zinasambaa kuhusu Mimi nna ni habari za uongo, nimekuja hapa kkukanusha habari hizi kwa nguvu zote...
Habari zinazosema kwamba Mimi Powder sili PILAU ni habari za uongo zinazoenezwa...