JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
KIJANA mmoja mtanashati aliingia kwenye hoteli moja kama mteja, akaomba aonane na bosi. Baada ya kuruhusiwa, mazungumzo yalikwenda kama hivi; Mteja: Samahani, naomba kujua kama chumba namba 39...
3 Reactions
26 Replies
5K Views
Nasikia huyu [emoji7]amenusurika kuuwawa huko shinyanga kwa sababu ya macho mekundu.Haka [emoji12]kamepigwa bastora kwa kukonyeza mke wa mtu.Huyu [emoji35]kakosa ajira,huyu kalemaa shingo siku...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi wakuu huyu member anaeitwa Paprika kapotelea wapi?. Alikuwa ana comment maneno machache kwenye mada mbalimbali lakini yaliyojaa busara nyingi. Mimi binafsi alinivutia kwa comment zake...
0 Reactions
14 Replies
959 Views
Mzuka wanajamvi, Siyo nawaringia ila Kupendwa raha. Usiku huu nilipotoka mzigon (kubeba boksi) nilipanda basi nikakaa na mbibi. Nilipofika kwenye kituo changu nasimama kushuka yani kanishika...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Hey...huu Uzi ni special kwa wana JF waliopata bahati ya kupata like ya mwanzilishi wa JF bwana ( maxence melo) The boss himself njoo apa uelezee baada ya kuona comment yko amelike bwana huyu...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimefika hapa Polisi Station nimefarijika sana na Kustuka baada ya kumkuta Askari hapa Kaunta anasoma Biblia nikajisikia fahari kuona anasoma neno kituo cha Polisi. Nikamuukiza Afande ni Nani...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa case yangu siwezi pitisha hata 1 hour, na prefer kusikiliza muziki kuliko hata kuangalia video zake, movie ndo kabisa sina muda nazo! Vipi kwa upande wako?
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Ni sehemu gani naweza kwenda pata kinywaji moja moto moja baridi kipindi cha wikiend halafu mwisho nikaondoka na totoz kali high class ukiachana na totoz chafu chafu za la chaz na ambiance Sent...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
>> Dem Wako Kaenda Kukutambulisha Kwao, Kufika Getini Kwao Unamkuta Dada Ake Ambae Ni Dem Wako Wa Zamani, Kidogo Unamuona Kaka Ake Ulipigana Nae Kwa Sababu Alikufumania Na Demu Wake,, Ulipoangalia...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
945 Views
Jamani nimeleta mzigo mpya wa SIDIRIA za kisasa. Kama unahitaji usijipe tabu ya kusema unavaa namba ngapi. Just nitumie picha ya maziwa yako tu. Ntakuletea saiz yako. Na mwez ujao nategemea...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza wanaume wote wa Dar kwa kuwa wa mfano kwa Tanzania nzima.. Baada ya zile mvua zilizokuwa zinanyesha kipindi cha mwanzoni mwa mwaka huu, sasa matunda...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Tarehe ya Leo, mwezi wa Leo mwaka 199.[emoji12]. Ndiyo siku niliyozaliwa[emoji64][emoji64][emoji64]. Asante sana Mama kwa kunileta Duniani, haikuwa kazi rahisi kunibebe tumboni miezi 9 , ila ni...
12 Reactions
101 Replies
14K Views
Bikra bikra! Enzi za kale babu zetu walihakikisha watoto wao wanatunza bikra zao hadi siku ya ndoa! Binti aliyejitunza alionekana kuwa ni bora zaidi Na heshima kubwa kwa wazazi wake! Njia...
4 Reactions
180 Replies
14K Views
Tujuane wale ndugu zangu wapande za marangu kilema.mimi natokea kijiji cha kimaroroni! Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
6 Replies
757 Views
Ni MWezi sasa tuko ktk mahusiano na huyu kaka ila cha kusikitisha anamanyoya mengi hasa kifuani, miguuni, mikononi, mgongoni hadi kwenye uume, somtymz nakereka kwakweli Hivi jamani wanaume wote...
7 Reactions
238 Replies
18K Views
Nimeweka post Yang kuhusu kutafuta mchumba lakin kutokana na watu wengine ambao ni lossers, kufeel jeolus na envy ,wanaanza kunitukana na kujudge vitu visivyo na msingi mpaka meaning ya lengo zima...
6 Reactions
13 Replies
987 Views
Kwanza hampendezi kabisa zaidi ya kututisha tu, na ndiyo sababu hizo pochi zenu haziachi kutoa harufu.....fangasi wamekaa hapo miaka nenda rudi mpaka wanahisi labda umekufa.[emoji16] [emoji16]...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari wakuu mko poa, Iko hivi katika maisha yako kuna ujinga ulishawahi fanya matokeo yake yalikuwa faida au hasara. Kwa upande wangu; 1.Niliwahi kufanya ujinga wa kufanya mapenzi bila...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…