JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nipo kwenye coaster jirani niliyekaa naye amefungua jf Haha rahaaaaa me namwangalia tu anapitia tu thread Sijui ni nani huyu?
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Mnakumbuka juzi kati hapa niliwaandikia thread ya mwanamke alikuwa wa kwanza kumshawishi bwanake na wana harusi leo jumamosi?! Kwa mliomiss link hii hapa Ladies, hii ndio njia ya kuolewa fastaa...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza sijawahi kumuona mrangi mwenye sauti nzito au base Wote wanaume na wanawake sauti zao nyembamba na nyororo Hivi ni sababu zipi zinazowafanya jamii hii...
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Kuna ukweli wowote hapa kwamba Watu wenye roho nzuri sana maishani huwa na Sura mbaya / zisizo na Mvuto ila wale wenye roho mbaya, wakatili, wezi na wanafiki huwa na Sura nzuri / zinazovutia sana...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Unataka kujua Nini kitakuua ? Kama unata kujua Nini kitakuua fuatilia hii Andika HOWRIP. CO/kisha andika jina lako itakuja picha inayoonyesha Tukio la kifo chako Zingatia hutakiwi kuruka nafasi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Tema nyongo hapa hasira zipoe, moyo utuliee. Mimi nimemtumia nauli mchepuko wangu mpya. Yani ndo tulipanga leo tuvunje amri ya sita kwa mara ya kwanza, lkn nashangaa baada ya kutuma hiyo pesa...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Naombeni ushauri wakuu. sa skonz lenyewe nimeshalipiga meno pande zote yaan, na mtoto kachachamaa kwel kwel
1 Reactions
38 Replies
2K Views
Najua waliitwa Majambazi kwa tabia zao mbaya za kupora watu kwa kutumia silaha ndio maana jina lao bayaa!!....Hivi MAJAMBAZI WANA SURA GANI? Yaani wanafananaje? Ni mijituu mikubwa mikubwa yaani...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Naamini kabisa kwamba wote tuliopo humu jf tuna umuhimu wetu kwa namna moja au nyingine ila hata hivyo haiondoi ukweli kwamba kuna baadhi ya wenzetu humu ( members ) ambao michango yao na...
1 Reactions
190 Replies
12K Views
Nina furaha ilioje tangu barrick wakubali kutulipa mahela yetu. Furaha ilizidi pale nilipopata habari kuwa above 18 tutapatiwa magari aina ya Noah. Hatua nilizochuka ni kuanza driving school na...
0 Reactions
11 Replies
752 Views
Uuh ni Uzi maalumu wa kikaango humu Jf kila siku itawekwa update ya mtu wa kukaangwa humu, Leo tunaanza na MSHANA JR mwenye swali lolote kumuhusu Mshana Jr na kama unaitaji kujua chochote...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
0 Reactions
1 Replies
849 Views
Habari za um jaman wana jf mim ni mgen kabisa um na ndio nimejiunga cjajua lolote kuhusu jf naomben mwenyej wangu awe hata rafik yangu wa karib
0 Reactions
6 Replies
744 Views
Habari za mchana ndugu zangu naamini mnaendelea na majukumu ya kulijenga taifa. Kwa waliobahatika kukutana na elimu ya viumbehai (biology) washawahi kukutana na msamiati huu distinctive...
1 Reactions
42 Replies
2K Views
Eti "Usingizi ni mbolea Ndo maana tukilala Tunaota"
0 Reactions
2 Replies
746 Views
Habari Wakuu! Binafsi namuona Mh. Andrew Chenge sio mtu wa kawaida kabisa, kila aina ya kashfa ya Ufisadi ktk nchi hii basi jina lake linahusishwa. Na kwa bahati mbaya au nzuri inaonesha huyu...
8 Reactions
38 Replies
4K Views
Maisha ya ukapera yanauma sana.Jioni hii nimepita maeneo Fulani hivi, mara tu ya kuja bongo chap. Aisee nimeona makapera wenzangu wamekaa wanapata chochote cha usiku kwa hawa wamama wanaouza...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Niko hapa bar nimekaa jirani na Kinikia moja linanichekea halijui kuwa mimi ni Smelter. Nahisi kulichenjua lakini nadhani kama madini nitakuta chuma chakavu manake linapiga Balimi na mimi niko...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Tutajiane ID ambazo ni pacha yaani baba mmoja, mama mmoja tumbo moja.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…