Leo nikiwa Mbeya nikakutana na mtu amempa jina mwanae *'Atuacacia Mwamakinikia*
Wanyakyusa wapo very updated kwenye majina
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ni kwa wanaume ila mwanamke anaweza kusoma na kujifunza kuwa wanaume wote ni waaminifu.
Mwanaume mmoja alienda kukata miti kwa ajili ya mkaa, bahati mbaya panga likadondokea mtoni, akaanza...
Sijui Kama ushawahi fall in love ile haswaa… yaani unampenda mtoto hadi akikupigia simu ile sauti ilivyo tamu unajiskia kutafuna na kuimeza hiyo simu.
Akikuita tu "my love" unajiskia tu kuvua...
Ni kwa kutokuwa mzalendo hasa alipokuja bwana "tothorn" kumsalimia Yohana kwenye makazi yake.
Huyu bwana (ras simba) ana kanuni yake moja hivi ikitumika humuwezesha mtu "kutema yai balaa"
Sasa...
Juzi nilikuwa nachenjua makinikia guest house na acacia wangu Mara ghafla nyoka akapita pembeni acacia wangu akapiga kelele muhudumu akaja na watu wakajaa Sana imesemekana nilikuwa nachenjua Bila...
Tigo walipobuni promotion ya Halichachi washindani wake wakaja na promotion kama hiyo, wakapindisha pindisha maneno. Sasa tigo wamekuja na Jaza Ujazwe. Washindani wamebaki vinywa wazi hawana...
Kama ulikuwa unadhani kuwa Couple ambayo inatishia tu amani humu JF ni ile ya The bold na Nifah pekee utakuwa umekengeuka / umepotoka kabisa kwani kwa siku za hivi karibuni kumeibuka Couple mpya...
Habarin wakuu,
Najua watu tunajifunza mambo mengi mazuri kuhusu maisha kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii. Kupitia uzi huu tujuzane mitandao mingine yakijamii tunayo ifahamu mbali na Twitter...
*Dada mmoja kachoka vituko vya mumewe akamwambia 'bora ningeolewa na shetani kuliko wewe'...mumewe akajibu 'dini haziruhusu mtu kuolewa na ndugu yake'...* [emoji23][emoji23][emoji23].
Nimatumaini yangu wote ( Jf members) mpo vema.Leo tuhamishe mawazo yetu kidogo toka kwenye siasa na kufikiria vitu vingine tofauti na siasa.Binafsi siasa za hapa kwetu (Tz), zina nichosha day...
Habari zenu wana jukwaa..!! Poleni na shughuli za ujenzi wa taifa. Leo naomba iniwekee misemo uliyowahi kukutanana nayo ikakufurahisha, kuchekesha au ilikushangaza..
Mimi naanza na huu hapa...