Sometimes serious sometime kidding hayo ndo maisha yabinadamu.
Hivi kwa mfano vitufe au kwalugha nyingine button za computer zingelikuwa katika maisha yabinadamu wewe ungelitumia button zipi...
wale WA MWEZI JUNE NA JUNE 06. ONA MAMBO HAYA:-
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10.
11.
12.
13.
14.
15.
16.
17.
18.
Historia kwa kiswahili tutaonana..
Enjoy 06...
Hakuna kitu kinacho tufurahisha sisi wanaume kama kuwa na demu mpya chumbani. Tena huyo demu akwambie "hebu funga huo mlango vizur bhn"
yaani unaweza kuvunjika mguu kwa furaha..
Cjui nyie wanawake...
Watu hua tunachagua sana kazi, kazi zingine tunaziona hazina hadhi hivyo wengi hua hatuzifanyi. Wale tuliowahi kuzifanya kitu kikuu tulichogundua ni kua anayefanya hizi kazi ana uhakika wa...
Kuna mtoto wa familia ya "mboga saba" anaitwa hilo jina na nimemuuliza maana yake nimejibiwa "sijui mama mwenyewe".
Nimejaribu kugoogle lakini nimeshindwa kupata maana yake.
Anayejua tafadhali.
Jamani hebu tuchangamshe ubongo ili usilale. Kwa sababu tunauhitaji ukae active usiku na mchana katika mapambano haya ya kumkomoa nyani gladi...
kwa hiyo kuna ka-puzzle kakishikaji hapa chini...
Heshima kwenu wakuu
nimeona nianzishe huu uzi wa Heka heka uwe special kwetu wana jf wote ili kupeana taarifa na matukio yanayo tukuta katika familia zetu na jamii kwa ujumla
kama una heka heka...
Hbr Zenu.Mtu Umepewa Hela Ya Kununua Mahitaji Ya Vyombo Vya Nyumbani Halafu Sisi Wa Nyumbani Tunatumia Ma Plastic Tunakula Chemicals Wageni Dongo,kioo Kwanini Jamani?
Where We Dare to Talk Openly. Leo katika kutazama tazama hapa na pale nikaona statistics baadhi zimebaki vile vile zingine zinabadilika badilika mda na mda.
Most Messages.
Most likes...
Leo nikiwa nimechoka zangu nikajiamulia kupiga simu police.
Mimi. Hellow Afande niko hapa naona watu kibao wamekufa na wamefukiwa mchanga..
Afande. Tuambie mkuu mahali ulipo tuje sasa hivi...
...,................. [emoji120] [emoji120]
When God calls you to be free from fear as you do evangelism, as you take a test, as you face a job interview, as you take a stand against an unjust...