Wakuu, hii nimeiona kwenye Face book kwenye Page ya Mtalii mmoja ambaye yuko nchini kwetu kwa matembezi:
So and so is a bit baffled by the priorities in this country; though there is no...
Habari zenu wanaJF? Humu ndani kuna mashushushu na makada wa chama cha babu, threads zao zimejaa uchochezi ambao haunatofauti na huu unaotumika kuhadaa wananchi juu eti ya Uhain wa kutaka kupindua...
Za leo! Za saa hizi,!
Jamani mwenzenu hata sielewi tunakoelelea, hivi kama kweli Tanzania kuna mgodi (sijui ndio mgodi au nimekosea) wa gesi asili (sijui nimepatia?) inakuwaje tunakosa umeme?
Au...
Alikuwepo jamaa mmoja kijijini aliyekuwa mwema na kupendwa na watu wote. Aliwajuwa watu wote. Alimsaidia kila mtu kwa uwezo wake. Watu wote walimjuwa. Alikijijuwa kijiji chote, kila kipembe, kila...
Wakuu
Wale wote tuliachiwa kila kitu na Wazazi wetu kwenye Tumbo la Mama zetu Njoo tuongee yetu Huku.. Miongoni mwa Hayo yetu..
All Singles wajisemee
All Frastrate na Mahusiano wajisemee
Na...
Wakuu huyu shemeji yenu Shunista au Shunie tangu nimvimbishe tumbo amekuwa akinikasirikia sana sasa nataka nimkomeshe nimletee mke wa pili
Haya sasa madada wa JF milango ipo wazi kwa anayetaka...
Rafiki zangu,ndugu zangu na wapenzi wangu wote wa JF nahitaji dua zenu maana hali si hali naumwa sana siwezi hata kula,macho yanafifia fifia ,mwili wa moto kila ninachofanya kwangu nakiona kibaya...
Kwa wale ambao ndoto yao kubwa ilikuwa kuonana na mimi waje hapa Durban au Kangaroo Night Club , njoo tupate bia mbili tatu huku tukiburudika na muziki mzuri na warembo wakareeeeeeee
Yani...
Salaaam Sanaa Mkuu Poleni na majukumu,Yakutwa Naimani ramadhani inasonga vyema kabisa Niende kwenye mada
Aisee Nina Bwashe (shemeji) Yangu
Alie Niolea Dada Yangu Ananitia jazba
Nahasira kiasi...
Miaka ile ya siasa za Ujamaa na Kujitemea, hakukuwa na shule nyingi za private, matokeo ya darasa la saba yakitoka na kama hujafaulu ulikuwa ni mzigo mzito kwa wazazi kukusomesha.
Mama mmoja...
Kama kichwa cha habari kijielezavyo naombeni msaada wa dawa ya mbu kuna mtaa nimeingia kama wiki mbili zilizopita hapa Tanga yaani natamani kutoa damu kwa hiari niwape kuliko hiki nachofanyiwa na...
Nimeumbuka Leo...
Me c House boy
Mtoto wa mama mwenye nyumba Leo katembelewa na rafk yake uyo rafk yake Mimi ni rafk yangu Fb kanikuta naosha vyombo... Tumegongana macho ngiiiii. ...