JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Niaje masela wangu kama dawa kama kawa nyie ndo watoa max wangu na kasichana kokote kanakonidatisha huwa nakaleta humu ili mkachambue na kunipa macoment na maushauli yenu Kuna haka kasichana...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Buffon nikipa ambaye kama ataweza kuchujua UEFA . ni kipa aliyekuw mda na club 1 mda mrefu je, hastaili kupewa tuzo B OR
0 Reactions
2 Replies
586 Views
Swali hilo hapo juu mnijibu jamanii Mi nimezoea jukwaa la siasa/ mapenzi
0 Reactions
2 Replies
555 Views
Don't gain the world and lose your soul, wisdom is better than silver or gold... Bob Marley.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kaazi kweli kweli mwanamke akiupaka ule lazima azomee
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Nianze na Salam. Nimebahatika kusafiri kidogo hapa nchini kwetu,kusini,kaskazini,magharibi mpaka mashariki. Tangazo kubwa ninaloliona kwenye miti na mistimu ya umeme ni la waganga wakienyeji...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Habari zenu viongozi, Kwa wenye kujua bei ya machine ya kuchuja alizeti ( sunflowers), tafadhalini karibuni kwa msaada wenu.
0 Reactions
2 Replies
870 Views
Wakati tukiwa tunasoma kila mtu alikuwa na sifa zake na tabia ambazo zilifahamika sana kwa wanafunzi wenzako . Mfano Mimi nilipokuwa shule nilikuaga mpiga kelele sugu darasan .Nilikuaga siandiki...
2 Reactions
168 Replies
9K Views
Haya sasa kazi kwenu Shilawadu ....msichelewe kubalance story ... sisi wala ubuyu tunausubiri kwa hamu... TUMEMUONA TUMEMUONA ...MWENYEKITI MWENYEKITI SIO MTU WA MCHEZOMCHEZO ..(Kwa sauti ya...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Kuota ndoto ni jambo ambalo kila mwanadamu hulifanya, hata wale ambao wanasema kuwa hawaoti. They do, they just don't remember their dreams. Kuna tafiti zinaonyesha kuwa hata, wanyama mbalimbali...
2 Reactions
52 Replies
5K Views
Kiukweli walimu huwa wanakuwa na majina mengi ya utani, sijui kama wao huwa wanapata wasaa wa kuyasikia.. Nakumbuka Primary tulikuwa na Mwalimu mlemavu wa mguu, tukawa tunamuita Kapisto...
1 Reactions
41 Replies
3K Views
Wewe ni Mwalimu wa Chekechekea .Vinakuja vitoto viwili cha Kike na Kiume huku vikibishana. Vinapofika kwako mambo yanakuwa hivi; Kasichana: Eti mwalimu mtu akifanya mapenzi katika umri wetu...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Karibuni wajanja wote tulio acha kupiga mastarbation,tujipongeze kwa maisha bila punyeto ni safi Tuweze kushare uliacha lini na ulipiga kwa muda gani 2:Je wajisikiaje kuacha punyeto 3:je umepiga...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Muammar Mohammed Abu Minyar Gaddafi The Hero of Africa leading Eid prayers in Tripoli May Allah grant him jannatul Fir -daus AMEEN YA ALLAH
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Poleni sana na swaumu wana JF, Ila katika pitapita yangu humu JF huwa naona thread tofauti tofauti lakini nimebaini kwamba zile za mapenzi na mahusiono ndo unakuta reply kibao. Hivi ni kweli...
0 Reactions
44 Replies
3K Views
mwandishi: hebu tueleze mh RC ilikuwaje ukavamia Clouds Media DAB: tumesikiliza kero za wananchi na tumekubaliana kupunguza bei ya maji kuanzia sasa unit moja itakuwa 1k tofauti na bei ya zamani...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Eleza ilikuaje. Mimi nilitapeliwa dumu zima la mafuta ya kupikia ambayo mdingi aliniagiza nikayachukue kwa rafiki yake mmoja kibamba. Sasa nilivyofika nayo k.koo, ndio mchezo ulichezeka hapo...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari Mwaka 2011 wakati namaliza A level nili-bashite haswa nikawa sina chaguo lingine zaidi ya kwenda kusoma ualimu wa primary. Nilipohitimu nilipangiwa kwenda kufanya english medium moja...
8 Reactions
47 Replies
5K Views
Uzi Makini. 1: Ukiwa na jini mahaba wa kike kama wewe ni mwanaume basi jua wew utakuwa domo zege siku zote Na huwezi kukubaliwa na mwanamke hata siku moja inasemekana ukiwa naye anakufanya uwe...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Sio lazima kila siku uchangiee mada iliyopo, unaweza kuwa na yako yamekutingaa unatupiaa hapaa. Yaani ni full kutoa mastress, ukiamua kulia we lia hapaa, cheka hapa, tukana hapaa, jamba hapaa...
10 Reactions
254 Replies
17K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…