JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
umetoka matembezi ukiwa barabarani unakuta iphone 6 katikati ya kinyesi cha binaadam je utaichukuwa au utaona kinyaa na kuiacha?
0 Reactions
7 Replies
774 Views
*Wanaume wa Dar es Salaam ni waoga sana yaani wameshindwa kumuhoji BASHITE mpaka amehojiwa na wanaume wa Mwanza* [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji85]
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani tuwaache hawa wanawake waishi wapendavyo. Mana sasa kila kitu kizuri tunawakataza wasifanye hadi imekuwa kero sasa. Ndo mana wanatusema wanaume tunalia lia siku hizi...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari waungwana, ni katika mfululizo na mwendelezo wa harakati za kimaisha na kimaendeleo. Leo nimekuja na hili la kuipongeza mitandao ya kijamii, hususani jf , huu mtandao kiukweli umenifanya...
4 Reactions
6 Replies
826 Views
Hakika sina shaka na ninachokisema kama unasikia mahojiano hayo yanayoendelea au umeyasikia japo kidogo unaweza kuamini hayo ninayosema Huyu Jamaa ni mtunzi mzuri wa story maana anayoelezea huku...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Nimesafiri safari nyingi sana na nimeshudia visa vya watu kupata wakati mgumu pale wanapobanwa na haja kubwa na ndogo katika safari, Mbaya zaidi mkiwa high way chance ya kupewa ruhusa kwenda...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Tunashukuru Mungu hatimaye serikali imeongeza Mshahara wa mwezi huu kwa asilimia 38%. Badili sentensi hii kuwa kiingereza.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama wewe Ni mwanamke age kuanzia miaka 40+ karibu nakukarinisha tuwe marafiki
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Hivi ni kweli kwamba maiti huzuia/kukataa kuzikwa na muda mwngne kufanya hata vyombo vya usafiri kugoma Kwend?? Nisaidieni Jaman maaana hua Napata wakati mgumu kuelewa wana Jf
0 Reactions
21 Replies
2K Views
*...... Boyfriend wako akiwa anakupa mizawadi kedekede unasema MAHABA* *Lakina kaka yako akifanya hivyi kwa mkewe unasema LIMBWATA*[emoji23][emoji23] *Hivi wadada aliyewaruhusu kuvuta bangi nani?*
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari za weekend wana chit chat KUNA JAMBO NAPENDA NILIFAHAMUU ZAIDIII KUTOKA KWENUUU...... Katika maisha ya sisi binadamu kila mtu ana kitu chake anapendelea kukifanyaa ...wengine husema...
1 Reactions
69 Replies
4K Views
*☹☹leo nmeumwa na jino la chini nkaamua kuyang'oa meno yote ya chini ili iwe funzo kwa meno ya juu*☹☹☹☹sipendagi ujinga
5 Reactions
10 Replies
2K Views
dah usingzi haupo kabisa,yani kwa sababu yenu nyie jamaa wa voda na limtandao lenu,sijui kwanin mnanifanyia hivi kila siku hasa kwa watu na marafiki nawapenda. leo ndo mmeamua kunipeperushia ndege...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Je wajua kua vitu vitamu vyote vinaanzia na neno --ku????????? Km kuku,,,kula,,kulala,,,kuogaa,,kucheza,,,kusengenya,,n.k Na km unavingine niongezee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28]...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
UKIPENDA BOGA PENDA NA UA LAKE: Alifika mwanaume akiwa ana hema ametoka kazini kabla ya muda wa kawaida,akamwambia mke wake Jiandae haraka tuna safiri kwenda mbeya, Mke akamuuliza...
8 Reactions
36 Replies
6K Views
Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani!! Kuna jilani yangu hapa katoka kazini kafika sinza mori akakuta pweza basi akala pweza wa buku na kachori za mia tano! Akaomba na supu ya pweza ya mia...
13 Reactions
54 Replies
3K Views
Mlevi kaulizwa, Tunaposema R.I.P kwa mtu aliefariki tunamaanisha nini?* _Mlevi bila kuchelewa kajibu_[emoji116][emoji116]. *Roho Imefika Peponi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
0 Reactions
2 Replies
924 Views
Wakuu naomba nitoe angalizo mapema hasa kwa wale ambao hawachelewi kutoa povu Hawa wadogo zetu wa kidato cha sita wamemaliza pepa zao hivyo muwavumilie tu mpaka mwezi wa kumi watakapoenda vyuoni...
4 Reactions
43 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…