[emoji23][emoji23][emoji23][emoji13][emoji13]
*That moment When a short guy compliments your hair that it smells nice and you're wondering which hair he's actually talking about*...
Nitakuwa live facebook majira ya saa nne usiku bofya hii link kunipata live Prophet-Linus Tesha pia kupata matukio yote ya kihuduma ya mrd international prophetic ministries Tanzania.
#Prophet...
et wanaJF wenzangu mi nashangaa sana hawa watumiaji wa madawa wanavyosemaga ile raha wanayoipata haina mfano hapa duniani..
Mi naawaambia hakuna raha isiyo na Mfano kama kutumia Fake Account JF...
Come to think of this?.......
1. Eternal life = free
2. Church entrance = free
3. Christ's salvation = free
4. God's love = free
5. Breath of life = free
A. Cigarette = pay
B. Prostitution = pay...
Mtoto karudi kutoka shule, kamkuta baba ake kakaa kwenye baraza ya nyumba yao, mtoto akamuuliza baba yake Mtoto: baba botswana iko wapi? Baba: kaangalie kabatini [emoji12] [emoji12] [emoji12]...
Guys! leo ndo nimezaliwa jamani 2* years old.
Kwa kweli siku ya leo nilivoamka nikajiskia kabisa nimeongezeka umri.
Changamoto zinazokuja kwa umri kusogea ni kubwa mno. Kwangu mimi na hata...
Unatoka chumba cha mtihani wa hesabu na unakuta magwiiji wa namba wanabishana.......
1: anasema jibu ni 3 na mwingne anasema jibu ni -3
Wakati wewe umepata jibu 41, 987.
Hapo ndio utaelewa...
TANESCO nazo zingekua nyingi kama MITANDAO YA SIMU hapa TZ? Matangazo yao na promotion yangekuwa hivi;
1.Hamia TANESCO SHUPAVU hakuna katizo la umeme, huduma bomba masaa 24
2.Tumia TANESCO POWER...
nawasalimu tu wakuu,naamini bado mnaendeleza harakati mbalimbali humu ndani.......huu ni ujio wangu mpya.wakuu viongozi heshima kwenu pia kwa busara zenu
Kwa mkazi wa dsm Uwe kazini nyumbani Au una party yako yakishkaji
Usitumie gharama nyingi wasiliana nasi Dreams food Na tuta kutengenezea packeg nzuri yenye mlo waukweli
Weka booking yako...
Salute..
Katika hali ya kawaida,tumezoea kila wiki,mwezi na hata mwaka kuna maneno yanayoongelewa zaidi kwenye jamii,mitandaoni na sehemu zingine kuliko kawaida.
Katikaa pita pita kwenye...
Habari za wakati huu Wakuu Natumai muwazima wa afya tele Mm nikijana mwenye umri wa miaka 20 Nimefanya kazi zakuajiriwa takribani miaka miwili Nimeona issue ya kuajiriwa Napoteza muda mwingi...