Heri ya pasaka kwa wanajf wenzangu wote.. Kilichonifanya hadi kuchapa bandiko hili ni juu ya tabia ya wale jamaa wakununa nuna yaani unakuta mtu mmekwaruzana kidogo tu badala ya kukaa chini na...
[emoji121]
WAKUU,
NYAKATI ZA KUELEKEA SHEREHE NA MISIMU YA SIKUKUU
NDIPO UMUHIMU MKUBWA WA KUWA "THINGO" UNADHIHIRIKA.
HAKUNA KABISA ZILE RAB'SHA_RAB'SHA ZA KIKOSI CHA MIZINGA ZILE!!!
WALETI...
Wakuu nashukuru Mungu nimefika Dar taangu juzi lakini Sifa tunazozisikaga ni Tofauti kabisa Leo nimeweza kukatiza mitaa ya Karikoo Nimeshangazwa na Majitaka/Mavi yalivyozagaa mitaani Jana...
INGIA INTERNET SASA HIVI Hayawi hayawi sasa yamekuwa,walio kataa kazi ya Ualimu sasa kilio kwao, Walimu kwao kicheko, posho mpya kwa Walimu wote yatangazwa, itakuwa kila tarehe 15 ya kila mwezi...
hata sielewi kwanini nipo single hadi mida hii...
huku nakoelekea ni kwenye album sasa....
mitaa gani kuna ma single boy,nianze kutoka toka nje labda wataniona....
ni cinemas au restaurants...
#Trump: Nchi yetu ni mfano wa ndege bora kabisa ulimwenguni ya Air Force one. Nitahakikisha tunaendelea kuwa taifa kubwa linalokua kwa kasi kiuchumi na kijeshi kama Air Force one.
#Shinzō_Abe...
Nmeacha umalaya na uzinzi kupima si mchezo dah Jana nlipoenda kupima ngoma aisee nlikukutwa na dalili zote za HIV nkaogopa kuchukua majibu nkawapa no za mke Wang wampe
Kwahyo nliogopa kurud...
Baada ya kupigwa marufuku viroba vimepata majina mapya maeneo mbalimbali. Mfano mitaa kadhaa niliyotembelea nimebaini majina mapya ya viroba kuwa ni panadol, chachandu na 4G. Wewe mtaani kwako...
Juma takatifu. Leo ni ALHAMIS KUU.
Hakikisha unaendelea kutengeneza palipobomoka, takasa moyo juu ya wengine,samehe pale ulipokosewa, toa kwa wahitaji kadri unavyoweza!!
BWANA atusaidie kuwa na...
Wale mnaofanya kazi kwenye mashirika mmewahi kutumia kigao kikubwa cha shirika(K.K.S) au kigao kidogo cha shirika(K.D.S).[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
Habari wadau wa mjengoni hapa
Mwenzenu namtafuta huyu mwenyekiti wetu wa misimamo hapa mjengoni
maana naona miezi sasa sijamtia machoni mwangu hivi amefichwa wapi?
Au keshabamizwa ban na hawa...
*HATARI SANA*
```Kwenye moja ya hospitali kubwa hapa mjini, kwenye chumba cha wagonjwa mahututi {I.C.U.} wagonjwa walikuwa wakifariki Dunia kwenye kitanda kimoja na muda ule ule saa 1 asubuhi kila...