JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari yenu wana jf hope mko poa wote. Niende kwenye mada husika je unasifika kwa tabia lipi mtaani kwako unapoishi? eg.upole,ukorofi,u-play boy or u-play girl,uongo,shilawadu(umbeya) n.k weka...
1 Reactions
135 Replies
7K Views
salaam wadau Naomba niingie Kwenye mada moja kwa moja,Baada ya kuingia Chaka nimeibuka na biashara moja Nzuri tu kwa aliye tayari, biashara yenyewe natafuta wateja nina meno matano ya tembo...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Wabongo Bwana wanapenda saaana kuagiza Vitu Unapotaka kusafiri kwenda mahali.. Ukienda Mtwara utasikia "Niletee Korosho" Ukienda Mbeya utasikia "Niletee Mchele" Ukienda Singida utasikia...
0 Reactions
6 Replies
982 Views
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Yaani kuna members wengine ni kama wamekwisha kukalili jina basi kila utakapo post kitu au kucomment kitu ni lazima ata kupinga au kukukashifu tu ilihali umeongea vitu vya kawaida tu, tena...
11 Reactions
82 Replies
6K Views
Wanaume ndivyo tulivyo, kutenda dhambi ni sekunde 1. Hebu soma hii: ```Wanandoa walizoea kudanganyana. Siku moja mke alilala nje aliporudi nyumbani mmewe akamuuliza ulilala wapi. Mke akasema...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Ukiangalia social media nyingine kama twitter, facebook na linkedin unatumia jina halisi pengine umeweka picha kabisa. Huko taarifa zako nyingi ziko wazi. Kwa nini hapa JF isiwe hivyo. Hata wale...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
"Baba paroko" Imeimbwa kwa lugha ya kiswahili ikichanganywa na kihaya Kwa anyejua mwimbaji wa hii nyimbo aniambie Asante ya utangulizi
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Wale wote wanaopenda kujua ni chama gani kinafanya poa katika majimbo kinachoyashikilia tukutane hapa kuelekea 2020 Je ni jimbo gani lina wananchi wasiyo na matumaini maji shida,hospitali shida...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
1 Reactions
57 Replies
3K Views
Huyu shost alipata mimba akiwa darasa la saba B, shost kaumbika mashallah. Wazazi walisononeka lakini walipiga moyo konde na kumsaidia binti kulea mimba. Binti alikwenda kufanya mtihani na mimba...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Leo siongelei wanaume wa Dar tu, leo ni wote wenye vijitabia vya kutuma Emoji za kipuuzi mbaya zaidi wanatuma hadi kwa wanaume. Wewe mwanaume rijali kamwe huwezi kuwa na akili ya kutumia hizi...
5 Reactions
125 Replies
23K Views
Nimekaa nikawaza (nadhani unaniona kwenye avatar) kuwa kuna mambo kama matatu hivi ambayo Waafrika hatuyajui,
kama tungekuwa tunayajua hata hawa Wamarekani, Wachina na hata watu wa Ulaya...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Kutokana na uhaba wa notifications tunaoupata baadhi ya member ambao sio maarufu kama kinaThe bold,mshana and the alike huu uzi ni kwaajili ya kuungishana mkono comment chochote utakotiwa tu hata...
6 Reactions
201 Replies
10K Views
Hakuna mtu mwenye mbio kama msichana aliyepaka make up halafu mvua inyeshe… :):D:D:)
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Hello! Is this Gordon's Pizza? No sir, it's Google's Pizza. Did I dial the wrong number? No sir, Google bought the pizza store. Oh, alright - then I’d like to place an order please. Okay...
0 Reactions
4 Replies
824 Views
Jaman. Hakuna Kinywaji Kitam Kama Konyagi Ukiimix Na Konyagi Na Bitter leomon Konyagi Na 7 Up Konyagi Na Dompo Konyagi Na Tonic Raha Sana Waiter Zungusha Tena [emoji482] [emoji482]...
5 Reactions
152 Replies
25K Views
Back
Top Bottom