KWA NINI WANAWAKE WENGI SIKU HIZI HAWAOLEWI? WENGI HUPISHANA NA WAUME ZAO
Kwamfano
- Mwanamke anapigiwa simu kwa namba ngeni, anauliza namba yangu umeitoa wapi? Usiponiambia aliyekupa usinipigie...
STRESS NI NINI?
Stress ni pale unaposubiria ajira tangu 2014 hujapata halafu unakuja kupangiwa KIBITI hapo lazima uimbe ule wimbo wa darasa
RUDI UTOTONI USIPOTEMBEA UTABEBWA MGONGONI[emoji3]...
*bongo muvi bana,naangalia muvi ya yesu walioigiza wabongo*
Maria: Yosefu nina mimba..
Yosefu: Yesu wangu mimba ya nan[emoji23][emoji23]? imebidi nizime Main switch kabisa...
Jamaa yangu kanitumia meseji hii sasa hivi:
Nimefumaniwa hapa na jamaa ameniambia nitulie tuyamalize kishikaji, yaani nisijali, sasa ametoka nje nasikia ananoa kisu nadhani anataka anichinjie...
Kuna haka katabia Shuleni/vyuoni ka kuhisiana maspy/wapelelezi wa walimu Sijui wanafunzi wanatumiaga vigezo gani kuita wenzao Maspy wa walimu unaweza kuchukiwa na shule nzima au hata kutengwa...
Wakuu uzi huu ni maalum kwa mabingwa wa kuchepuka ambapo kikubwa tutajadili jinsi wanavohandle michepuko,faida na hasara za michepuko lakini pia tutaangalia swala zima la njia zinazotumika...
Habari za mchana members.... Nilikuwa naomba Masaada wa maelezo kuhusiana na hili swala la ulipaji kodi ambalo TRA wameliongezea muda wa wiki mbili, hii kodi inayolipwa ni ya majengo au ardhi...
Many professionals need Dstv installer Jobs. Asides acquiring the raw knowledge and experience it's good to attend Dstv,Azam course, where you can get accredited installation training to become a...
Ina maana gani mtu kuweka kwenye nyimbo yake kava la muuza mkaa hii inamaanisha kuwa wauza mkaa ndo watu Wenye hali ya chini sana au ndo fikra za watu mbovu
Zikafuatia kucha bandia, kope bandia, ngozi bandia, matusi bandia, makalio bandia.....najiuliza tu baada ya haya yote kitafuata nini?
Uasili unatoweka kwa kasi kubwa
jamani wandugu tazameni spidi ya huyu mdada sweetie Heaven on earth
Total PostsTotal Posts 4,317
Posts Per Day 29.27 Last Activity Today 18:15 Join Date 21st...
Nataka niishi kama Gwajima
1. Unakuwa na hummer kama tatu
2. Ndege chopa kama tatu
3. Unakuwa na nyumba orofa 3.
4.Yaani wewe japan na nje ya nchi wanakuheshim sana kuliko nchini kwako
5...
ZIFUTAZO NI DALILI ZA MTU AMBAYE ANAENDESHA GARI YA KUAZIMA (SIO YAKE)
1 Anaendesha kwa speed misele misele kibaoooo.
2 Anashika stelingi na mkono mmoja mwingine nje ya mlango.
3 Kumsalimia kila...
Sio vizuri kudharau dharau vitu anavyochagua MKEO, Eti anachagua vitu vya ovyo na vya kijinga! Kumbuka hata wewe ni CHAGUO lake!... [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ...
Hakuna kazi ngumu Kama kumtoa mwanamke kwenye kochi kumpeleka kitandani wanaume mnaijua hili, ukijaribu utasikia tu "niache Mimi..sikuja kwa ajiri ya mambo hayo"sa ulikuja kuchaji simu Au...
Mwaka 1985 wakati wa transition of power kutoka kwa Rais Nyerere kwenda kwa Rais Mwinyi, wengi hasa wazee wakiwaza Tanzania bila Nyerere inawezekana?
Tulianza kuona plastic shoes madukani, enzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.